Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lewis Hall ana miaka 17 tu, What a great baller
Confident, Great Passer and great defender

Hall has featured in several positions this season for our academy teams, including left-back, wing-back and central midfield.

As a naturally left-footed player, he can operate anywhere on his favoured side of the pitch and also has the ability to play more box-to-box when in central areas. He makes his men's first team debut on the left of a back-three.

Naona TT anamuandaa awe backup ya Alonso kwa msimu huu
View attachment 2074226
Anajua sana dgo
 
Mendy, Silva na Kante wamepatwa na Omicron
14 days quarantine

Silva na Kante wanarudi tar 12/1/2022
 
Je kuna ulzaima kuwarudisha waliotolewa kwa mkopo??
Gilmour, Gallagher pamoja na Emarson kama hatutafanya usajili dirisha hili dogo... Maana siku hiz mchezaj akiwa na dall tu za mafua wanampiga nje kwanza so inahtajka kuwa na wachezaj wengi machaguo ya kutosha yao gezeke ..


Swala la pili Saul kama vile anakuja anakataa ila TT namini atampatia eneo lake halisi.. katikati tunahtaj kiungo kama Declan Rise pale anapokesekana Mateo au kante na endapo Gilmour hatarudishwa
 
Yaaani kumbe mnacheza jumatano then jumamos mapema mnakuja kukutana na sisi ......ambao week nzima hatujacheza

Haki ya Mungu mtajuta kuingia uwanjani jumamosi ...


Yaani mtajuta kuweka timu yenu uwanjani siwafichi
 
heshma ambayo nyumbu assanal na livakuku wanatakiwa kuitoa wakipata kagol kwa mabingwa
IMG-20220109-WA0003.jpg
 
Yaaani kumbe mnacheza jumatano then jumamos mapema mnakuja kukutana na sisi ......ambao week nzima hatujacheza

Haki ya Mungu mtajuta kuingia uwanjani jumamosi ...


Yaani mtajuta kuweka timu yenu uwanjani siwafichi
 
Sio MUngu.Nikimanisha hayuko sahihi Kwa Kila kituu.Licha ya umahiri wake alio nao kwenye soka.
Tunamzungumzia mpasha habari wa michezo anayeongoza kwa kutoa taarifa za ndani ya klabu, zaidi 95% ya tetesi zake zinakuja kuwa kweli, kwa nini tusimtrust. na hoja yangu ilibase kwenye statu quo yake hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom