Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Kamfungeni tena jmosiMadam mbona kipara tumemfunga mara tatu. Au yule hakuwa kipara? Mimi huwa siofii City.![]()
Kamfungeni tena jmosiMadam mbona kipara tumemfunga mara tatu. Au yule hakuwa kipara? Mimi huwa siofii City.![]()
Uone namna mtu anapigiwa geto kwakeSubiri uone
Muone😉Uone namna mtu anapigiwa geto kwake
Aaaargh kumbe sio wa mwisho ndiye mshindi 😀
Tufungieni hawa watu jamaniMr.0 shots on Target tunakuja Tena kuwakunja kenge nyie ...
Odoi anapokea 180000 alafu Rudiger apokee 140000 ebu Chelsea waache jokesChelsea wamempa ofa ya paundi 140,000 kwa wiki na yeye anataka paundi 200,000 kwa wiki
PSG na Real Madrid wanamtaka
View attachment 2076104
InachekeshaOdoi anapokea 180000 alafu Rudiger apokee 140000 ebu Chelsea waache jokes
Odoi anapokea paundi 120,000 kwa wikiOdoi anapokea 180000 alafu Rudiger apokee 140000 ebu Chelsea waache jokes
Mabeki Huwa mishahara Yao ni midogo siku mara nyingi.Odoi anapokea 180000 alafu Rudiger apokee 140000 ebu Chelsea waache jokes
Inategemea unalinganishaje. Kama unalinganisha na top paid player sawa ila kama unalinganisha na alichokiomba Rudiger, bado paundi 200,000 ni pesa ndogo sanaMabeki Huwa mishahara Yao ni midogo siku mara nyingi.
Kuhusu Rudiger Kutokana na kazi anayo ifanya,haiendani na mshahara anao pokea Japo Nina amini muda utaongea ukilinganisha na umri wa Rudiger,Bado yanq. Siku zijazo kiwango kisipo shuka atavuna salary inayo mstahili.Inategemea unalinganishaje. Kama unalinganisha na top paid player sawa ila kama unalinganisha na alichokiomba Rudiger, bado paundi 200,000 ni pesa ndogo sana
- Varane paundi 340,000 (Man U)
- Sargio Ramos 300,000 (PSG)
- John Stone 250,000 (Man City)
- VVD paundi 220,000 (Liverpool)
- Chilwell paundi 190,000 (Chelsea)
- Maguire 190,000 (Man U)
acha tuwauzie madrid sisi si ndo wazee wakuuza mbuzi kwenye Gunia?Kuhusu Rudiger Kutokana na kazi anayo ifanya,haiendani na mshahara anao pokea Japo Nina amini muda utaongea ukilinganisha na umri wa Rudiger,Bado yanq. Siku zijazo kiwango kisipo shuka atavuna salary inayo mstahili.
Sawa utamuuza Rudiger utamleta beki yupi mwenye kiwango Bora?acha tuwauzie madrid sisi si ndo wazee wakuuza mbuzi kwenye Gunia?
Beki watapatikana tu uzuri litakuwa ni dirisha la majira ya joto....Sawa utamuuza Rudiger utamleta beki yupi mwenye kiwango Bora?
Ndio mtaje ni Nani? Chelseafc utafanya upuuzi wa hali ya juu kama itamuachia Rudiger watu wanaohusishwa nao kuwataka ni kichefuchefu hiv mtu kama kounde ambaye nimemcheki game nyingi za sevilla ni wa ovyo Sana most of time anakuwa nje ya position yakeBeki watapatikana tu uzuri litakuwa ni dirisha la majira ya joto....
Madrid hawajajua tuu Sisi ndio watahalamu wa kuuza mbuzi kwenye gunia Kwa bei ya dhahabu Safi kabsaacha tuwauzie madrid sisi si ndo wazee wakuuza mbuzi kwenye Gunia?