Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timo Werner blamed himself for Lampard's sacking, never spoke a bad word about the club.

Kai Havertz never complained about playing centre midfield under Lampard.

Christian Pulisic gives his all playing right wing back.

Giroud always put in 100% for the team even though he could have pushed or looked elsewhere for play time.

These are the professionals that won the Champions League. Not Romelu Lukaku. Play Werner every single week over this child.View attachment 2066031
Warner ni mzungu lukaku ni MKONGO MAN hyo ndio tofauti
 
leo siofii kitu wachezaj wamerud kasoro chilly na james ila kila idara tuko vzr kuna kai wenner kante silva rudy jorginho unawazia nn came on Chelsea
Kwahiyo mkipigwa leo tusitegemee vijisababu??
 
Chelsea bila lukaku sioni kabisa mtaweza vipi kutoboa ule ukuta wa kina vvd ,

Lukaku anamwili angesaidia Sasa hawa vimbaombao kina Kai ,Werner,mount ,watakula roba za mbao tu ....
Penalti si zipo mzee baba?

Na sisi ndio watu wa penalty
 
Timo Werner blamed himself for Lampard's sacking, never spoke a bad word about the club.

Kai Havertz never complained about playing centre midfield under Lampard.

Christian Pulisic gives his all playing right wing back.

Giroud always put in 100% for the team even though he could have pushed or looked elsewhere for play time.

These are the professionals that won the Champions League. Not Romelu Lukaku. Play Werner every single week over this child.View attachment 2066031
Kweli umeturudisha mbali mkuu.

Ni bora hata tungenunuaga striker ambaye ni average angeweza kutuboost.

Kuliko huyo jamaa.
 
Yaani Werner pamoja na changamoto zote alizopitia katika ufungaji wake, majority wameishia kumuhurumia tu.

Hawajawahi kumchukia kama Lukaku.
Ndio maaana nasema kuna wakati babu ferg aliwakataaa watu weusi kisa ujinga kama huuu hakuwa mbaguzi alikujua tu kuwa kabadilika ni dakika ziro je jinga hili lingefikia zama za DROGBA SI ANGEKUWA ANATEMEA KOCHA MATE
 
Ya Auba yanampata Lukaku sasa
Kazidi uropokaji unalipwa mshahara mkubwa na bado unaogongea ushubwada unategemea Nini? Mashabiki wanamshambulia huko mitandaoni ile mbaya binafsi nilikuwa nampenda ila ile kauli kawakera wengi ponea yake aombe msamaha
 
Ay tumuuze China au Qatar kwa pesa kidogo.

Aiseee yaani hata Diego Costa na utata wake wote hakuwahi kuwa lopolopo kama huyu jamaa. Hata baada ya kuondoka chelsea.
Diego costa hakuwa lopolopo ila unakumbuka alivyotuwakia anataka kuondoka wakati huo tupo kwenye title race alafu bwege analazimisha bodi wamuuze
 
Ndio maaana nasema kuna wakati babu ferg aliwakataaa watu weusi kisa ujinga kama huuu hakuwa mbaguzi alikujua tu kuwa kabadilika ni dakika ziro je jinga hili lingefikia zama za DROGBA SI ANGEKUWA ANATEMEA KOCHA MATE
yorke_dwight_alex_ferguson_1998-1999.jpg

gettyimages-1082118-1024x1024.jpg
 
Kazidi uropokaji unalipwa mshahara mkubwa na bado unaogongea ushubwada unategemea Nini? Mashabiki wanamshambulia huko mitandaoni ile mbaya binafsi nilikuwa nampenda ila ile kauli kawakera wengi ponea yake aombe msamaha
Nimesoma alichosema Lukaku, sijaona sehemu akimsema kocha vibaya!
Alipokosea ni kuweka wazi bado anaipenda Inter, other than that sioni kile ambacho wengi wana mind!

Hilo ni kosa ambalo linatakiwa kushughulikiwa ndani kwa ndani. Otherwise kama anafanya kazi nzuri uwanjani itakuwa kujichoma kisu kutompanga! Kupanga kwa loyalty kulim cost Lampard, na naamini Tuchel akirudia hili litam cost pia.

Apangwe au asipangwe kwa kiwango ila sio petty issues kama hizi. Hizi waachiwe akina Marina wa deal nazo!
 
Una watoto nyumbani.

Umekaa huna hili wala lile unasikia mwanao analalamika redion kwamba hafurahishwi na stuation iliyoko nyumbani kwenu, na mwenye uwezo wa kubadili hiyo stuation ni wewe baba.

Unajisikiaje?

Kwanini mwanao hakukuface?

Hawa wachezaji wakubwa wakubwa wote siyo kama hawapitii changamoto.

Lakini hawaziadress kama anavyoziadress kama alivyoziadress Lukaku.

Halafu kwanini afanye interview 3 weeks ago halafu ije iwe released few days tukiwa tunaelekea game ya Liver?

Aiseee unaweza ukawa huoni tatizo lakini tatizo ni kubwa sana kuliko unavyowaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom