42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa saiv umekuwa huongei matusi km mwanzo....unatoa point tu cjui umekula nn cha ziada wiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa saiv umekuwa huongei matusi km mwanzo....unatoa point tu cjui umekula nn cha ziada wiki
He said: "Physically I'm doing great. I'm just not very happy with the situation, but that's normal. I think the boss has decided to play a different formation, but I have to stick at it and get on with it professionally.Nimesoma alichosema Lukaku, sijaona sehemu akimsema kocha vibaya!
Alipokosea ni kuweka wazi bado anaipenda Inter, other than that sioni kile ambacho wengi wana mind!
Hilo ni kosa ambalo linatakiwa kushughulikiwa ndani kwa ndani. Otherwise kama anafanya kazi nzuri uwanjani itakuwa kujichoma kisu kutompanga! Kupanga kwa loyalty kulim cost Lampard, na naamini Tuchel akirudia hili litam cost pia.
Apangwe au asipangwe kwa kiwango ila sio petty issues kama hizi. Hizi waachiwe akina Marina wa deal nazo!
Kwamba anaulizwa kwa nini siku hizi huna hela anasema baba kabadilisha sheria naruhusiwa kutoka home saa 4 mpaka 6 mchana tu. Shida iko wapi? Kwani si ni kweli mfumo wa baba unanifanya niwe na pesa kidogo?Una watoto nyumbani.
Umekaa huna hili wala lile unasikia mwanao analalamika redion kwamba hafurahishwi na stuation iliyoko nyumbani kwenu, na mwenye uwezo wa kubadili hiyo stuation ni wewe baba.
Unajisikiaje?
Una uhakika hawajawahi ongea hili?Kwanini mwanao hakukuface?
Ukae ukijua kila mchezaji ni tofauti sana na wengine, kuanzia malezi mpaka imani. Naona wengi wanalinganisha na Giroud lakini umewahi kujua kuwa imani zao zikoje na zina influence gani kwenye maisha yao? Maisha sio uwanjani tu, yanaanzia mbali na yana mengi. Kuna wengine huwa ni wanafiki wanapiga makofi pembeni wanalalama. Kuna wengine ni wakimya huugulia kimya kimya na wengine huzira.Hawa wachezaji wakubwa wakubwa wote siyo kama hawapitii changamoto.
Lakini hawaziadress kama anavyoziadress kama alivyoziadress Lukaku.
Yeye ndio kaiachilia?Halafu kwanini afanye interview 3 weeks ago halafu ije iwe released few days tukiwa tunaelekea game ya Liver?
Tatizo lazima lipo ila naona mnalikuza unnecessary. Zaidi ya kipengele cha kusema bado ana mapenzi na Inter na anatarajia siku atarudi sioni kama kuna issue. Na hili inategemeana na mkataba wake kama unamzuia au policy za timu. Else hakuna issue!Aiseee unaweza ukawa huoni tatizo lakini tatizo ni kubwa sana kuliko unavyowaza.
ACHENI UOGA NAMNA HIYOSidhani kama hayo matokeo yana faida kwa Chelsea, Arsenal watakuja kututoa kwenye nafasi ya 3 na sasa tukabaki tunapambania nafasi ya nne na Spurs
Uwezo wa kumkuta city haupo kabisa, mimi hatari kubwa nianayo ni kubaki top 4 kwa form ya Arsenal na Spurs na majeruhi tuliyo nayo labda tufanye manunuzi ya maana januari hii
And what is wrong there?He said: "Physically I'm doing great. I'm just not very happy with the situation, but that's normal. I think the boss has decided to play a different formation, but I have to stick at it and get on with it professionally.
"I am not happy with my situation but it is my job and I must not give up."
Droo peke yake ndio ingekuwa na faida kidogo kwa sababu city aliye mbele atadrop 2pts na Arsenal anayetunyemelea atadrop 2 pts, simple mathematicsACHENI UOGA NAMNA HIYO
ata simeone anamtaka apo tufanye swap deal watupe felix tumalze mchezoNasikia Arteta anamtaka Lukaku kwa paundi 85m
Lukaku kasema hayuko happy na hali yake wala sio ya kocha na kasema kocha kubadili mfumo ni kawaida na ni lazima apambane ili acheze vizuri na aliporudi majeruhi kwenye mechi mbili kaonyesha hiliAnd what is wrong there?
Sijaelewa wanaopiga kelele shida ni nini hapo?
Matatizo hayasolviwi kwenye media.Kwamba anaulizwa kwa nini siku hizi huna hela anasema baba kabadilisha sheria naruhusiwa kutoka home saa 4 mpaka 6 mchana tu. Shida iko wapi? Kwani si ni kweli mfumo wa baba unanifanya niwe na pesa kidogo?
Una uhakika hawajawahi ongea hili?
Ukae ukijua kila mchezaji ni tofauti sana na wengine, kuanzia malezi mpaka imani. Naona wengi wanalinganisha na Giroud lakini umewahi kujua kuwa imani zao zikoje na zina influence gani kwenye maisha yao? Maisha sio uwanjani tu, yanaanzia mbali na yana mengi. Kuna wengine huwa ni wanafiki wanapiga makofi pembeni wanalalama. Kuna wengine ni wakimya huugulia kimya kimya na wengine huzira.
Zote ni personalities na kocha unapaswa kujua namna ya ku deal nazo!
Yeye ndio kaiachilia?
Tatizo lazima lipo ila naona mnalikuza unnecessary. Zaidi ya kipengele cha kusema bado ana mapenzi na Inter na anatarajia siku atarudi sioni kama kuna issue. Na hili inategemeana na mkataba wake kama unamzuia au policy za timu. Else hakuna issue!
Twitter kumechafuka aiseeemwisho wa sku tunasema akuna mchezaj mkubwa kuliko timu anakula bench maisha yanaendelea [emoji91][emoji16][emoji16][emoji91]
“ If you really wanted to stay at Inter Milan like you said, say to them give me half my wages and I’m not going to Chelsea, don’t spit your dummy out, what he’s done is really, really disrespectful “Lukaku kasema hayuko happy na hali yake wala sio ya kocha na kasema kocha kubadili mfumo ni kawaida na ni lazima apambane ili acheze vizuri na aliporudi majeruhi kwenye mechi mbili kaonyesha hili
"I won't give up. I will be professional. I am not happy with the situation but I am professional and I cannot give up now."
awajui mashabk wa chelsea uyu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tulimfollow wenner na havertz ad wakashangaa kule insta ila wakituzngua tunawazinggua2 vilevileTwitter kumechafuka aiseee
Yapi sasa ambayo Tuchel hayajui. Mfumo au kukaa benchi?Matatizo hayasolviwi kwenye media.
Tuchel kasema anamuona Lukaku ana furaha na hajawahi kusikia hayo mambo anayoyasema Lukaku.
Kuna mengine ni mtu anatoa opinions tu!Hii siyo best way ya kusolve matatizo.
Mashabiki hawa hawa waliompigia makofi Ole (OleOnTheWheel) then baadaye (OleOut)?Mashabiki mtandaoni wana hasira sana. Jaribu kupita Twitter uone hashtag zinazotrend.
Kwa kukusaidia tu angalia hapo juu.
Majority does not mean right!Ni watu mmoja mmoja kama wewe ndio mpo back kwa Lukaku kwa kile alichoongea. Lakini majority wamemcrash sana.
Mbona sio mara ya kwanza!Match ya leo hajapangwa na hayuko hata Bench.
Kumbe hujawahi kuona wachezaji wakorofi wewe!Hakuna mchezaji professional anaweza kufanya alichofanya Lukaku.
Nimekuelewa na ndio najiuliza kosa la kuandamwa hapo ni lipi?Lukaku kasema hayuko happy na hali yake wala sio ya kocha na kasema kocha kubadili mfumo ni kawaida na ni lazima apambane ili acheze vizuri na aliporudi majeruhi kwenye mechi mbili kaonyesha hili
"I won't give up. I will be professional. I am not happy with the situation but I am professional and I cannot give up now."