42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Dah sikuwahi kuisikia hiyo.uyu bwana kuna kipind ad morinho alivokua unyumbuni alisema n kilopolopo sana
Dah sikuwahi kuisikia hiyo.uyu bwana kuna kipind ad morinho alivokua unyumbuni alisema n kilopolopo sana
Acha yampate tu....Ya Auba yanampata Lukaku sasa
Kweli mkuuu kweli mtu mzima kuongea hivyo nasema watu weusi changamoto sana si kma ni ubaguzi hapana nafikiria tu jinsi aliwaza nn kuongea mamneno hayo?Potelea mbali. Ila huwezi kumpanga Lukaku kwa mambo aliyoongea.
Ni aibu mambo kama yale kuongelewa na mtu kama yeye.
Hahahah...... Nyie teteeni tu ila hata iweje huyo leo hachezi.mtu yuko fit, anaanzia sub. Hilo lenyewe hamkuona kama ni kumkosea mchezaji mwenye kiu ya kuimarisha historia yake ya soka kama lukaku? ni bora mngemuacha huko inter alikukuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza
Halafu mbona leo kma watu wamekata Tamaaa hivi mpka mwanangu wa faidaramos alishindwa mvunja sembuse uyo
Maneno yake yamemponza.Romelu Lukaku has been left out of the Chelsea squad for their Premier League match against Liverpool at Stamford Bridge.
Mkuuu huyu mbona kma ROMA MKATOLIKI AU?
aliwahi kuliongea ilo alisema lukaku n m2 wa kuropoka sasa ndo tumejionea amna professional player anaeza ongelea tim pinzan akat bado anakula mshahara wa darajan paleDah sikuwahi kuisikia hiyo.
huyo ni lakaka, mshambuliaji wa kimataifa🐒Mkuuu huyu mbona kma ROMA MKATOLIKI AU?
huyo ni lakaka, mshambuliaji wa kimataifa![]()


yule wa pasaka muache aozeee benchi ssa akacheze na academy hukoleo siofii kitu wachezaj wamerud kasoro chilly na james ila kila idara tuko vzr kuna kai wenner kante silva rudy jorginho unawazia nnHalafu mbona leo kma watu wamekata Tamaaa hivi mpka mwanangu wa faida
Cash money nao anagwaya anarudi nyuma hapana tunaweza fanya lolote la tofauti


came on Chelsea










....Hata mie mkuuu ila hatu wanahofu sanaleo siofii kitu wachezaj wamerud kasoro chilly na james ila kila idara tuko vzr kuna kai wenner kante silva rudy jorginho unawazia nncame on Chelsea
![]()
uyu anatakiwa ale bench ad anenepe zaidyule wa pasaka muache aozeee benchi ssa akacheze na academy huko
Sana mkuuuu hata akili za harmonize hizouyu anatakiwa ale bench ad anenepe zaid
Hamtaki magoli ?yule wa pasaka muache aozeee benchi ssa akacheze na academy huko