Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuna majeruhi mengi, Lukaku ni kafiri ila atatufaa kipindi hiki, no way. Kama ni kumuuza tufanye hivyo msimu wa kiangazi
 
---------------- Werner -------- Mount --------------

Alonso - Kante -- Jognho-- Kovacic --- Azipi

----------- Rudger -- Silva --- Chalobah ---------

TT ajitahidi kupanga kikosi hiki apate angalau DRAW.

Pulisic, Odoi, Ziyech - Wastage of time
Weka na harvts pia, tuna win hi mechi tena sio draw kabisa.
 
---------------- Werner -------- Mount --------------

Alonso - Kante -- Jognho-- Kovacic --- Azipi

----------- Rudger -- Silva --- Chalobah ---------

TT ajitahidi kupanga kikosi hiki apate angalau DRAW.

Pulisic, Odoi, Ziyech - Wastage of time
Mechi ya mwisho kucheza na midfield wengi tukapata matokeo ilikuwa na spurs tulicheza hivi na man City tukapotea vibaya
 
Usajili wa Lukaku ulikuwa wa kukurupuka hakuna mchezaji pale, kazi kuropoka tu.
 
---------------- Werner -------- Mount --------------

Alonso - Kante -- Jognho-- Kovacic --- Azipi

----------- Rudger -- Silva --- Chalobah ---------

TT ajitahidi kupanga kikosi hiki apate angalau DRAW.

Pulisic, Odoi, Ziyech - Wastage of time
Toa kati ya Kova au Joginho weka Kai kule mbele.
 
lukaku omitted in the squad to face liverpool, za chini chini,

reason? kujisemea ukweli🤣
 
Mechi ya mwisho kucheza na midfield wengi tukapata matokeo ilikuwa na spurs tulicheza hivi na man City tukapotea vibaya
Labda kama Liver hana viungo wa kueleweka leo ndio tukicheza hivo tutawanyanyasa ila kinyume na hapo viungo wawili tu wanatosha.
 
naona kocha wenu anaanza kutengeneza sababu za kufungwa taratiiibu
 
Potelea mbali. Ila huwezi kumpanga Lukaku kwa mambo aliyoongea.

Ni aibu mambo kama yale kuongelewa na mtu kama yeye.
uyu bwana kuna kipind ad morinho alivokua unyumbuni alisema n kilopolopo sana
 
Potelea mbali. Ila huwezi kumpanga Lukaku kwa mambo aliyoongea.

Ni aibu mambo kama yale kuongelewa na mtu kama yeye.
mtu yuko fit, anaanzia sub. Hilo lenyewe hamkuona kama ni kumkosea mchezaji mwenye kiu ya kuimarisha historia yake ya soka kama lukaku? ni bora mngemuacha huko inter alikukuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom