Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yapi sasa ambayo Tuchel hayajui. Mfumo au kukaa benchi?
Unaweza kunukuu maneno haswa ambayo unaona yanaleta shida? Kila nikisoma siyaoni. May be ukinukuu hicho kipande itanisaidia!

Kuna mengine ni mtu anatoa opinions tu!

Mashabiki hawa hawa waliompigia makofi Ole (OleOnTheWheel) then baadaye (OleOut)?
Ni kawaida sana kwa kizazi chetu kinachosikia kwa kuona na kuamua kwa kutumia moyo. Emotianal generation. Trust me, itapoa na kusahaulika soon!

Majority does not mean right!

Mbona sio mara ya kwanza!

Kumbe hujawahi kuona wachezaji wakorofi wewe!
Public huwa wanafuata mkumbo sio ukweli, hakuna mtu ana muda wa kutafakari yaliyosemwa au kuandikwa.
 
Public huwa wanafuata mkumbo sio ukweli, hakuna mtu ana muda wa kutafakari yaliyosemwa au kuandikwa.
Yaani huwa siandiki andiki hizi habari ila hii over reaction ni childish!
 
Nafikiri kosa kubwa analohukumiwa nalo Lukaku ni kusema anatamani kurudi Inter wakati timu imetumia karibu paundi mil 100 kumsajili aje kuleta impact badala yake miezi michache baadaye almost mitano tu anakuja mbele ya vyombo vya habari kusema anatamani kurudi Inter

Yeye kwanza hajui kuwa ni ufukara wa Inter ndio ulimtoa huko, Inter wanaweza kurudisha hata nusu ya pesa tulizotoa?

LUKAKU ni mjinga sana na soka lake asipoangali ndio imefika ukingoni akauze mkaa kule Kariakoo
 
240px-Chelsea_FC.svg.png

Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com

View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m

View attachment 450991
Owner: Roman Abramovich

View attachment 450993
Chairman: Bruce Buck

View attachment 1688249
Head Coach: Thomas Tuchel
Chelsea Trophies:
League Titles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 8
UEFA Champions League: 2 (2011/12, 2020/2021)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 2 (1998, 2021)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 1970/71)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)

View attachment 1889041
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Super Cup Winners(2021)

View attachment 1111925
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Europa League Champions (2018/19)

View attachment 1801870
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Champions League Winner (2020/21)

View attachment 1820725
Chelsea’s Premier League Fixture - 2020/21

Follow this thread for team updates!

Leo lazima afe Liverpool mbili bila
 
“ If you really wanted to stay at Inter Milan like you said, say to them give me half my wages and I’m not going to Chelsea, don’t spit your dummy out, what he’s done is really, really disrespectful “

- Jimmy Floyd Hasslebaink on Sky https://t.co/av7ffCNiWa

na ichi ndo kilichomkost ad wenye tm wameingilia kat
Yes nimeiona hiyo clip ya jamaa.
 
Yapi sasa ambayo Tuchel hayajui. Mfumo au kukaa benchi?
Unaweza kunukuu maneno haswa ambayo unaona yanaleta shida? Kila nikisoma siyaoni. May be ukinukuu hicho kipande itanisaidia!

Kuna mengine ni mtu anatoa opinions tu!

Mashabiki hawa hawa waliompigia makofi Ole (OleOnTheWheel) then baadaye (OleOut)?
Ni kawaida sana kwa kizazi chetu kinachosikia kwa kuona na kuamua kwa kutumia moyo. Emotianal generation. Trust me, itapoa na kusahaulika soon!

Majority does not mean right!

Mbona sio mara ya kwanza!

Kumbe hujawahi kuona wachezaji wakorofi wewe!
Hakun mchezaji professional anaweza kufanya alichofanya Lukaku.
 
Dunia nzima inajua mmechua CL kwa kubahatisha ,kiuharisia hamna uwezo wa kuchukua CL kenge nyie

Li timu lenu halina uwezo hata kidogo ,

Mkuu wewe pia ulikuwa mmoja wapo unawasifia hao kenge.
Wanamtegemea mount ndio hawape ubingwa Epl,.

Klabu bingwa dunia wataenda kutia aibu tena hawa Safari hii.kuna dalali zote.
 
kaa apo sku iz ushaona mabango yananyanyuliwa uwanjani ila media zna nafas ata ya kufukuzisha kocha
Jua tu maamuzi hayafanyiki Twitter. Mzee Wenger angefukuzwa Arsenal kitambo. Jua hizi sio timu za Bongo na ni biashara za watu.
Narudia tena maamuzi hayafanyiki Insta au Twitter!
 
Kipi sasa boss, mbona unaonge abstracts tu? Kipi haswa ambacho hawawezi kufanya? Kulalamikia mfumo, au kusema anapenda timu fulani?
Yote mawili kwa pamoja.

Kwanini ukalalamikie kwenye media wakati Kocha na viongozi wengine hujawapa malalamiko yoyote?

Lukaku anasema hayuko happy ila tuchel anasema anamuona jamaa yuko happy na hajawahi pokea malalamiko yoyote kutoka kwake.

Matatizo hayasolviwi kwenye media unless kama TT alimuignore Lukaku. Na hatujasikia hayo.
 
shida kubwq ya lukaku ameonyesha mapenz yake ya kurud inter mbele ya tajr anaemlipa izo wachezaj wanasemaga kama ndoto zao atukatai ila so kwa ile kaul aloitoa lukaku
Ipi sasa? Lukaku akiwa na faida atabakia darajani. Mark these words. Hayo mengine na maboss wake watayaweka sawa then huku mtaani mtabaki mnalalama tu. Lazima ujue mpaka wa kuwa shabiki kwenye biashara za watu
 
nidham n faida kubwa kwa professional player ila bila nidham kocha ashndw kukushusha ukacheze na academy player
 
Yote mawili kwa pamoja.

Kwanini ukalalamikie kwenye media wakati Kocha na viongozi wengine hujawapa malalamiko yoyote?

Lukaku anasema hayuko happy ila tuchel anasema anamuona jamaa yuko happy na hajawahi pokea malalamiko yoyote kutoka kwake.

Matatizo hayasolviwi kwenye media unless kama TT alimuignore Lukaku. Na hatujasikia hayo.
Dah tuliache tu hili maana hata kunukuu sentensi ambayo unaiona ina shida umekataa. zote mbili zipi?

Sidhani kama Lukaku kafanya kosa kubwa kuliko John Terry kuzini na mke wa Team Mate wake. Kama JT aliendelea na ku shine, uwe na hakika RL atasonga kama akiendelea kufanya vizuri. Sioni kama kuna issue kubwa. let us move on!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom