Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arsenal wanacheza vizur hadi siamini city wanaweza kupotea kiasi hiki.sasa hii ndio nafasi ya kupunguza gap kati yetu na man city.....!

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama hayo matokeo yana faida kwa Chelsea, Arsenal watakuja kututoa kwenye nafasi ya 3 na sasa tukabaki tunapambania nafasi ya nne na Spurs
Uwezo wa kumkuta city haupo kabisa, mimi hatari kubwa nianayo ni kubaki top 4 kwa form ya Arsenal na Spurs na majeruhi tuliyo nayo labda tufanye manunuzi ya maana januari hii
 
Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
Wamecheza vizuri ila wameishia kuja kufanya utoto na kupoteza match.
 
Wamecheza vizuri ila wameishia kuja kufanya utoto na kupoteza match.
Mimi kama mshabiki wa the blues nimefurahi sanaa arsenal kupoteza hiyo mechi...........kesho no matter how worse we are Liverpool anafungwa mapema tu, tutabaki kwenye nafasi ya pili Mancity sio tishio sanaa ki vile
 
Tuache kujipa matumaini feki, kwa wachezaji gani wazuri tulionao mpaka tumfunge Liverpool?

Alonso, Odoi, Joghnho, Mount, Azipi, Pulisic, Ziyech?

Tujiandae kula goli 3 bila nyumbani kwetu.

Chelsea 0 - 3 Liverpool
Mkuuu hatutafungwa take my words, Chelsea hubadilika kulingana na mpizani. Tutajihami na kushambulia kwa kushitukuza tu.
 
Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
asee mkuu lembu leo imefikia hatua hadi arse8 tunaisifu wakati wao kutwa kutuponda!? Ina maana timu yetu umechoka sana ...em sema neno moja mkuu..
#CFC
 
Endelea kujipa moyo sio mbaya, nahifahamu timu yangu ilivyo na utoto mwingi kule mbele sioni huo usiriaz wa kufunga goli utatokea wapi.
Mkuu kua na matumaini tutawafunga au tunatoka sare, nao the blues sio dhaifu kiasi hicho, kwamba hatuwezi kupambana na kupata matokeo chanya, Liverpool uliweza kufungwa na timu ndogo wiki ilio pita kwanini Chelsea haiwezi? Chalsea ni timu kubwa na kochi sio wa hovyo anajua aina ya mpira anaenda kucheza
 
Timu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.

Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote

The blues tuna nani?
Mkuu husikate tamaa tuwe kama arsenal wana roho ngumu ata timu yao ikiwa mbovu kiasi gani watajipa mataini
 
Timu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.

Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote

The blues tuna nani?

Magoli yenyewe tunafunga kwa kubahatisha
Lukaku Warner Mount Rudiger wanauwezo wakutupa matumaini, mimi sioni kama hii mechi tutaipoteza, Liverpool sio nzuri kivile, tuombe VAR iwe neutral
 
Timu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.

Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote

The blues tuna nani?

Magoli yenyewe tunafunga kwa kubahatisha
Huyo Salah unayemsifia kitu gani anachokifanya dhidi ya Chelsea?
 
Kwa ile kashikashi ya lukaku hivi Leo ataingia uwanjani

Naona mnasema lukaku out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom