Yaani haikubaliki timu moja kushinda kombe la epl kila mwaka ???Tulianza hii marathon tukiwa 20 na wanne walidhaniwa watafukuzana hadi mwisho bingwa apatikane, lakini mwanzoni kabisa baada ya mechi kama mechi ya 6 tu Manure akaachia ngazi hadi leo anajikongoja tu
Ilipofika mechi ya 12 yule mchawi aliyeishiwa mafuta akatung'ang'ania hadi tukapoteza pts 2 muhimu japo tulishinda mechi ya 13 lakini performance ilidorora tangu mechi na Manure.
Liverpool naye kwenye mechi ya 18 anapoteza point 2 muhimu kwa Spurs na mechi ya 19 anapoteza pts zote 3 kwa Leicester City na sasa race inaonekana ni ya City peke yake
Hesabu rahisi
0+6 = 6 Manure
6+6 = 12 Chelsea
12+6 = 18 Liverpool
Manure+Chelsea = Liverpool
Liverpool - Chelsea = Manure
Liverpool - Manure = Chelsea
Haya ni mahesabu ya Aljebra ambayo imeinfluence timu kudrop points in favor of City
Inabidi sasa timu zote za EPL zikae zimpigie kura ya kumfukuza EPL PEP kwa sababu kashaifanya EPL ionekane ligi ya wakulima kila mwaka ni timu moja tu inagombea ubingwa. Hii Haikubaliki kabisa
Kuna tetesi zinasema huenda tukamkosa reece james kw kipindi kirefu,huenda ikawa miezi 3-4,
Jinga hili majitu meusi ni unafiki mpka mwisho
Lukaku Hana hamu ya kucheza tena chelseaJinga hili majitu meusi ni unafiki mpka mwisho





Acha kuleta ubaguzi wa rangi kenge wewe kama TT mbinu zake hazimfurahishi lukaku kwanini aendelee kukaa hapo...Jinga hili majitu meusi ni unafiki mpka mwisho
LUKAKU VIPI TENA ...?
“ Utimamu wa kimwili nipo sawa . Lakini sina furaha na hali ilivyo ndani ya Chelsea. Tuchel ameamua kucheza na mfumo mwingine - sitokata tamaa , nitakuwa professional, sina furaha na hali ilivyo lakini nitakuwa professional na siwezi kukata tamaa sasa . “
“ Ni matumaini yangu kutoka moyoni kabisa kurejea tena Inter Milan tena sio mwisho wa maisha yangu ya soka bali bado nikiwa katika ubora wangu ili kutwaa zaidi mataji pamoja . Nataka kuomba msamaha kwa mashabiki wa Inter , muda ambao niliongea maneno yangu haukuwa muda sahihi , mulichonifanyia kitabaki milele kwenye moyo wangu “
“ Huu ni muda sahihi wa kushea hisia zangu , mara zote huwa nasema Inter ipo moyoni mwangu , najua nitarejea Inter Milan , naipenda Italia , huu ni muda sahihi wa kuongea na kuwafahamisha watu nini kilitokea “
“ Nafikiri kila kitu kilichotokea majira ya kiangazi yaliyopita , haikutakiwa kutokea kama vile ...jinsi nilivyoondoka Inter , namna nilivyoondoka klabuni , jinsi nilivyowasiliana na mashabiki ...inanisumbua kwasababu haikuwa muda sahihi “
Source : @fabriziorom
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sawa tuchel tapel PatelLabda refa atokee FSG...

Kanyweni dawa inaitwa Pep.Shida sio mfumo, shida ni kukutwa na majeruhi +covid, sidhan kama kunatim ambayo imekutwa na majeruh mengi+ covid kama sisi,
Kuna mechi tuliwah kuwa na wachezaj 13 tu walio fit,
Shida nyingine ni kutokuwa clinical katika umaliziaji, hawa watoto wanashindwa kufanya maamuzi sahihi katika wakat sahihi.
John Terry hapana aisee, Frank Lampard is far better than John Terry/ Stevie G,Karibu John Terry nyumbani
Replacement ya TT akiboronga
View attachment 2062978