Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lyon have rejected Chelsea's approach to recall Emerson Palmieri from his season long-loan spell in France
 
Mi namaanisha huu uzi ni jumba bovu. Kumbe wewe unamaanisha timu ndiyo jumba bovu? Ila nishalikojolea, tatu. Hadi kocha akafukuzwa
mkuu yule tapeli wao ameamua kuwaambia ukweli bana maana hana tena cha kudanganya...kwamba kombe wasahau sijui kama wameiona hii....alafu anasingizia majeruhi na covid huku timu nzima imekata moto kila mwanasoka anaona waziwazi...ama kweli tucheli ni tapeli asee!, anajisahaulisha kila timu ina crisis ya covid in the same league!​

FireShot Capture 163 - Thomas Tuchel admits Chelsea can't compete for Prem title amid Covid _ ...png
 
mkuu yule tapeli wao ameamua kuwaambia ukweli bana maana hana tena cha kudanganya...kwamba kombe wasahau sijui kama wameiona hii....alafu anasingizia majeruhi na covid huku timu nzima imekata moto kila mwanasoka anaona waziwazi...ama kweli tucheli ni tapeli asee!, anajisahaulisha kila timu ina crisis ya covid in the same league!​

View attachment 2062903
Na wakasema kikosi ni kipana na yeyote anafunga.
 
Joghnho ana madhaifu mengi sana.

Tangu aondoke yule Emenalo tumekuwa tunafanya sajili za ovyo ovyo tuu
mkuu katika shabiki wa chelsea msema kweli ni wewe na Bwana Lembu tu humu ndani...uliwaambia humu wenzako kuwa hii timu yenu kwasasa bila kupewa mapenati haitoboi wakakubishia wakasema timu ipo vizuri tatizo ni umaliziaji tu pale mbele na lembu akawaambia timu haileweki inacheza backpasses tu bado wakabisha..."ONA SASA HADI KOCHA WENU ANALILIA PENALTY HADHARANI"...dah! polen asee.

#NO_PENALTY_NO_PARTY!!!

FireShot Capture 147 - Fuming Thomas Tuchel slams Mike Dean for denying Chelsea a '100 per c_ ...png
 
Pulisic naye ni injury prone
Kante muda wowote injury
Bado tunapambana na Covid-19
Mola tusaidie, hatuja wachezaji waliobaki
MKUU ULIWAAMBIA HUMU KUWA TIMU INACHEZA HOVYO INAPIGA BACK PASSES TU WAKAKUONA MCHAWI HUMU SASA....WENZAKO WAJE WAONE TAKWIMU ZENU ZA JANA NA WAKUOMBE MSAMAHA HARAKA SANA KWA UPOFU WAO MAANA MLIZIDIWA KILA KITU NA BRIGHTON TENA MKIWA BRIDGE MLICHOWEZA KUONGOZA NYIE NI KADI ZA NJANO, OFFSIDE, PIA KIPA WENU KASAVE SANA KULIKO WA BRIGHTON NA KUWACHEZEA FAULO NYINGI BRIGHTON!

FireShot Capture 145 - CHE 1-1 BHA - Chelsea - Brighton - Statistics - www.flashscore.com.png
 
Arsenal itakuwa mkiani kama mimi nikiwa wa tano
Haijawahi kutokea Arsenal kua mkiani. Ila chelsea kushuka daraja au kua wa nane imeshatokea, nafikiri mara ya mwisho ni 2016 mlikua wa nane au wa saba
 
Daaa ...

Baada ya kubahatisha CL ....

Wakajichora na tatoo kabisa kuwa wanaenda kuchukua epl

Kudadekii ,mnafikili ni rahisi kupanda mlima wa game 38
 
mkuu yule tapeli wao ameamua kuwaambia ukweli bana maana hana tena cha kudanganya...kwamba kombe wasahau sijui kama wameiona hii....alafu anasingizia majeruhi na covid huku timu nzima imekata moto kila mwanasoka anaona waziwazi...ama kweli tucheli ni tapeli asee!, anajisahaulisha kila timu ina crisis ya covid in the same league!​

View attachment 2062903
Man city wana case gani ya covid for the past one month?

Arsenal pia the same.

Nyinyi ndio mnaangalia mpira livescore.
 
Hivi hii ni timu kweli?
Unazaliwa mzima ila unakuwa unaanza kushabikia huu ujinga pumbavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom