Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Funga bakuli.Huko nyuma nilishawahi kusema kumtegemea ODOI, CHEEK, BARKLEY ni hali ya hatare.
Nilisema hawa ni wachezaji wa Crystal palace.
Hawa ukiwapeleka city wanapigwa risasi getini.
Funga bakuli.Huko nyuma nilishawahi kusema kumtegemea ODOI, CHEEK, BARKLEY ni hali ya hatare.
Nilisema hawa ni wachezaji wa Crystal palace.
Hawa ukiwapeleka city wanapigwa risasi getini.




Ukweli kazingua hakupaswa kuongea vile kipindi kama hichi vuta picha akiwa uwanjani atapata mapokeo gani kwa mashabikiLukaku ashaharibu hali ya hewa, katika wakati ambao hatujawa na matokeo mazuri, natumai kesho tuchel atatupa majibu,
Ngoja tuone hali itakavyokuwa,
Haya matamshi aliyatoa wiki ya kwanza ya December 2021 lakini yalirushwa hewani tarehe 30 December 2021 na Sky Sport ItaliaLukaku ashaharibu hali ya hewa, katika wakati ambao hatujawa na matokeo mazuri, natumai kesho tuchel atatupa majibu,
Ngoja tuone hali itakavyokuwa,
Hapo labda Pulisic auzwe kwa sababu ni injury prone akipona hadi awe fit anakula mshahara wa bure kabisaOdoi
Ziyech
Pulisic
Mount
Wachezaji wa kawaida sana. Pale city hawapati namba.
Uwezo wao mdogo wa kucheza na kumsaidia Lukaku pale mbele.
Washambuliaji tulionao sio wa mbio ndefu kama EPL, utoto mwingi sana mbele ya goli.
Utoto mechi after mechi, EPL haikusubirii uache utoto.
Marina asijili washambuliaji serious wenye uwezo mkubwa.
Tuache kubahatisha bahatisha kushinda mechi.
Yaani kati ya lukaku na TT ,TT ndio anatakiwa kuondoka kwenye club ?????Haya matamshi aliyatoa wiki ya kwanza ya December 2021 lakini yalirushwa hewani tarehe 30 December 2021 na Sky Sport Italia
"Physically I'm doing great. I'm just not very happy with the situation, but that's normal," Lukaku said. "I think the boss has decided to play a different formation but I have to stick at it and get on with it professionally"
"I'm not happy with the situation but it's my job and I mustn't give up."
Baada ya mechi na Villa alihojiwa tena na kusema
"I think I needed a performance like this today. The manager has his reasons but I kept working hard," Lukaku said after scoring in the 3-1 win over Aston Villa on 26 December.
"It's a good win and personally for me I'm happy. Balls from crosses and the movement in the box - I try to be less static."
BBC Sport inaripoti kuwa Lukaku na TT wameshajadiliana kuhusu majukumu ya Lukaku kwenye timu na ndio maana Lukaku alicheza tofauti na Villa na pia juzi tulipocheza na Brighton
YES inaweza kuwa na madhara (50/50) (inategemea na factors nyingi) ya muda mrefu kwenye timu na hasa uwepo wa aidha Lukaku au TT ukiendelea kuwepo Chelsea. Ilirushwa tu jana na kama TT alijua hilo haitakuwa na madhara badala yake positive impact, ila kama hakujua na sasa inaweza ikamshutua akapanic na mahusiano na Lukaku na wachezaji wengine ikazorota na ikawa ndio mwisho wa TT
Ikitokea hivyo (mahusiano yakazorota) sidhani kama Lukaku atauzwa ila nadhani TT siku zake pale darajani zitaanza kuhesabiwa
Lukaku ni mchezaji ambaye yuko kwenye kiwango chake cha juu cha ufungaji na pia anayo shauku kubwa ya kuendelea kuwa hivyo. kwa calibre yake kumuweka benchi au kumuwekea mfumo holela ambayo itamfanya ashindwe kufunga hataridhika na kawasha kiberiti makusudi ili kama Chelsea hawako tayari kumtumia jinsi yeye anavyotaka arudi Inter ambao wao walimuelewa na wakamtumia vizuri hadi hadi akafunga magoli mengi.
Na ndio maana baada ya majadiliano na kati ya Lukaku na TT kuhusu mfumo utakaomuwezesha yeye kufunga, TT kaja na staili tofauti kuanzia mechi dhidi ya Villa. Mipira mingi sasa hivi inapelekwa kwa Lukaku
Infact hata ile blunder aliyofanya Odoi dhidi ya Brighton badala ya kushoot akiwa kwenye position nzuri alimtafuta Lukaku kwenye imposible angle hadi akapoteza ile nafasi. Mentality ya kumchezesha Lukaku imebadilika baada ya Lukaku kuongea na kuketi na TT ili kushauriana.
Kwa staili ya TT, huko mbeleni Lukaku wengi watajitokeza pale dressing room na itakuwa ndio chanzo cha TT kutimuliwa
Mfumo wa TT utamuweka tu darajani ukileta matokeo mazuri, ila akianza kuboronga na hali hiyo iko karibu sana regardless ya mafanikio aliyopata. tusishangae TT akitimuliwa
Uongozi wa Chelsea hauwezi kumvumilia kocha anayeshindwa na huku wachezaji muhimu walionunuliwa kwa pesa nyingi wakianza kulalamika kupitia media
USHAURI:
TT anatakiwa ajifunze kufitisha mfumo kwenye vipawa vya wachezaji
Lukaku ni mfungaji mzuri ila hafungi kama inavyotakiwa
Ziyech ni mfungaji na mtoa assists mzuri ila kajifia kabisa sababu ni mfumo wa kocha
Werner ni mfungaji mzuri sana, kaja Chelsea kashindwa kufunga





Sijasema tuwasubiri, nimesema tusiwatoe labda PulisicKwahiyo tuwasubirie wakuwe kiuwezo huku tumuache City aendelee kubeba makombe.
Kama kuwasubiria wakuwe basi wabaki kuwa sub sio 1st team. Sio kutufanyia masihara kule mbele
Hatuwezi kuwa na washambuliaji wa 1st team ambao hawana uwezo wa kuingia safu ya ushambuliaji za vikosi vya kwanza vya wapinzani wetu city na Liverpool.
Huyo mshambuliaji hatari hata akija bado ataonekana wa kawaida kama kocha anashindwa kutengeneza mfumo mzuri kikubwa inatakiwa kocha angalie aina ya mfumo ambao utamfanya kila mchezaji awe kwenye kiwango chakeSajili za Marina za miaka ya karibuni za kuunga na soletepu, haswa kule mbele ametuletea wachezaji wa kawaida sana
Timu haina angalau hata mshambualiaji mmoja wa hatari wa kuogopeka wa kujivunia. Tangu aondoke HAZARD hatuna tena mchezaji wa kuamua matokeo.
Shida yetu ni kuwa beki zetu zinamapungufu, ili kuyaficha inabidi tucheze back 3 ili kuficha mapungufu yaoHuyo mshambuliaji hatari hata akija bado ataonekana wa kawaida kama kocha anashindwa kutengeneza mfumo mzuri kikubwa inatakiwa kocha angalie aina ya mfumo ambao utamfanya kila mchezaji awe kwenye kiwango chake
Tutaona mwisho wake ukizingatia na wachezaji majeruhi sioni tukitoboa andelee kumweka pulisic wingback kama atujaendelea kulia kila sikuHuo mfumo TT ndio best kwake. Amefika mwisho wa mfumo sioni akibadilika au kubadilisha mfumo. Bali namuona akistick na mfumo & style hii hii ya uchezaji wa timu linyeshe mvua liwake jua.
Kiufupi TT ni mwoga wa kupoteza mechi mfulilizo hayuko tayari kujaribu mfumo mpya bali atakomaa na huu huu akiamini majeruhi wakipona mfumo wake utaimarika ( pass fupi fupi, back pass milioni 1, ball position asilimia laki 5)
Shida ni wachezaj wetu, hata guardiola huwez kuta kabadilisha mfumo sana unakuta anabilisha tactics ila mfumo unakuta ule ule,Huo mfumo TT ndio best kwake. Amefika mwisho wa mfumo sioni akibadilika au kubadilisha mfumo. Bali namuona akistick na mfumo & style hii hii ya uchezaji wa timu linyeshe mvua liwake jua.
Kiufupi TT ni mwoga wa kupoteza mechi mfulilizo hayuko tayari kujaribu mfumo mpya bali atakomaa na huu huu akiamini majeruhi wakipona mfumo wake utaimarika ( pass fupi fupi, back pass milioni 1, ball position asilimia laki 5)
Hizo beki unazosema hazifai msimu ujao zinaondoka maana tumeshindwa kuwaongezea mkatabaShida yetu ni kuwa beki zetu zinamapungufu, ili kuyaficha inabidi tucheze back 3 ili kuficha mapungufu yao
Njia pekee ya kucheza na mabek 4 inabidi tutafute mabek wengine wa kati, je marina yuko tayar kumpa tuchel wachezaj anawaowataka, ukija kuangalia tuchel inabid atumie 343 ili kuficha mapunguf ya wachezaj wetu upande wa nyuma
Rudiger kwenye back 4 tutamkataa, na wale wakina christiansen.
433 inahitaj uwe na mabeki aina ya kina dias/van dijk beki
Silva umri ushaenda hawez akacheza 10/15 games mfululizo
Marina inabidi afungue poch aampe tuchel wachezaj anaowataka na sikumletea wachezaj ili mradi tu tusajili