Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tutaona mwisho wake ukizingatia na wachezaji majeruhi sioni tukitoboa andelee kumweka pulisic wingback kama atujaendelea kulia kila siku
Klop msim uliopita wakat van dijk ameumia aliweza mtumia fabinho o henderson kama cb, hakuweza badilisha mfumo kisa tu injury na hapo unakuta kabak or davies ambao walisajiliwa january wako bench,

Pulisic kucheza wingback anacheza game moja moja na sikila game, ni sawa na klop anavyomtumia milner kama rb mda mwingine huku nje akiwa na neco william or joe gomez

Game ya aston villa kuna mda pulisic alicheza kama rwb na tulianza kucheza vizuri na kuanza kupanga mashambulizi kuliko hata wakat anacheza falss no9
 
Hizo beki unazosema hazifai msimu ujao zinaondoka maana tumeshindwa kuwaongezea mkataba
Rudiger or christiansen kabla ya tuchel waliwah kuwa na consistenc hii waliyonayo sasa

Issue ya christiansen ilikuwa ishakamilika kwenye mkataba wake ila akaja kubadilika ye mwenyewe, tim ilitaka kumpa miaka 5/4 akawa akakubal ila baadae akaja kubadilika akataka miaka 3,

Rudiger issue kubwa iko kwenye malipo anayodemand, ukiangalia soon anafikia 30 so anaona huu ndio wakat wa yeye kupata pesa kubwa.
 
Klop msim uliopita wakat van dijk ameumia aliweza mtumia fabinho o henderson kama cb, hakuweza badilisha mfumo kisa tu injury na hapo unakuta kabak or davies ambao walisajiliwa january wako bench,

Pulisic kucheza wingback anacheza game moja moja na sikila game, ni sawa na klop anavyomtumia milner kama rb mda mwingine huku nje akiwa na neco william or joe gomez

Game ya aston villa kuna mda pulisic alicheza kama rwb na tulianza kucheza vizuri na kuanza kupanga mashambulizi kuliko hata wakat anacheza falss no9
Shida mfumo tunaotumia ni mgumu 343 sio mwepesi kama mnavyodhani timu nyingi zinachemka kucheza hivyo kama huna watu wa kueleweka shida tuliokuwa ni majeruhi wachezaji waliokuwepo hawafit

Hao liver wanacheza 433 mfumo wa kila timu hata wakiwa na majeruhi ni rahisi kufanya back up ya mchezaji mwengine tofauti na sie
 
4-3-3

Tusajili beki mbili za kati za maana.

Tusajili kiungo mkabaji mzuri wa kusaidiana na Kante:-

(Kante sio wa kumtegemea sana injury prone, Kovacic kila siku misuli inawaka moto

Tumsajili kiungo mchezeshaji mzuri:-

Kiungo aina ya fabrigas (mbunifu, pass ndefu zinazoweza kuvunja safu 2 za mpinzani)

Kule mbele tuone kama watabadilika na kwa sajili hizo mpya na mfumo mpya.
Kusajili ni lazima hilo halina pingamizi je tutapata wachezaji tunaowata kipindi hichi ukizingatia na soko la usajili lilivyo gumu kutokana na hali ya uchumi imeyumba coz ya covid
 
Kabla ya kufanya usajili fukuzeni hiyo Tucheliban 🐒
FH7M682XwAE301H.jpeg
 
Uko sahihi kabisa Chief. Na ikumbukwe TT alishasema hawezi kubadili mfumo kwa sababu, mfumo wake unatoa performance nzuri ya umiliki mpira uwanjani, kinachokosekana ni umalizaji wa kufunga magoli ndio kitu alichosema ataendelea kukiboresha.
Yuko sahihi na ni kweli yote yanafanyika kweli kma tunatengeneza nafasi mpka 10 kwa game 1 ssa kufunga wanafunga magoli ziro au 1 ssa hapo TT Kafanyaje na shida yake iko wap?
 
NADHANI ISHU SIO COVID TU BALI ATA MAJERUHI AMELALAMIKIA HILO PIA LAKINI SIO KWAMBA LIGI NZIMA MAJERUH MNAYO NYIE TU IVYO HICHO SIO KIGEZO!...UKWELI NI KUWA WACHEZAJI WENU WAMECHOKA WANA FATIGUE YAKUTOSHA MAANA BENCHI LENU BOVU WANAOINGIA SUB AFADHALI ALIYETOKA NA KILA MECHI NI KIKOSI ICHOICHO TU, KIBAYA ZAIDI MORALE NA CONFIDENCE YENU IMESHASHUKA.....MTAKOMA!!!
Mimi nilizungumzia covid...

Timu zote ambazo wachezaji wake kadhaa walipata covid zimeathirika.

Ndio maana Arsenal na Man city pekee kama sijakosea ndio ambao hawajakumbwa na covid na kila kitu kwao kinaenda poa.

Japo kwa upande wetu sisi. Shida ilianzia ile match ya man u. Hii ya Covid kiupande mwingine ni kama Escape goat. Kilichotufanya tusishinde match ya Brighton ni nini?
 
Unataka turudi kwenye back 4, beki zetu kwenye back 4 tutazikataa saizi,

Huwezi badilisha mfumo huku ukiwa mfumo unaotumia haujawa na matatizo, mara nyingi makocha huwa wanabadilisha pattern ya uchezaj na si mfumo, angalia city ya guardiola mfumo wake ni ule ule ila kinachobadilika ni pattern ya uchezaj wa tim.

Hata leo tukirudi kwenye back 4, je unahisi alonso na azplicueta watatupa kile wakina robertson/taa,cancelo,walker wanachowapa city/liverpool

Angalia wakat wote wakina chilwel na jamess wanacheza pamoja na wakat huu james na alonso wanavyocheza unaona kabisa upande wa alonso hakuna madhara yeyote n tim pinzan zinahakikisha james hana madhara wakat chilwel yupo ilikuwa ngumu coz ya pace aliyonayo chilwel na tulikuwa na overload upande wake na kucreate nafasi upande wa kulia ila now hicho kitu atupo,

Alonso /azp hawa wasasa sio wale wakat wa conte.
Huyo jamaa nadhani hajawahi kuangalia match ambazo chelsea amecheza akiwa na back 4.

Acha aongee anavyojisikia
 
Sijasema tuwasubiri, nimesema tusiwatoe labda Pulisic
Mimi naamini form mbovu ya hao niliowataja mchango mkubwa ni wa kocha
Hao hao wachezaji akipewa PEP utawatamani

Sterling alipokuwa Liverpool kwa umri ule Mount ni bora mara 10

TT anategemea tactics za kubahatisha hana mfumo wa kukuza vipaji ili vije kuleta faida kwa timu
Kama Lukaku analialia huko nje je hao wengine
Tusipumbazwe na kombe la UCL alilotupa TT, bado anayo madhaifu mengi hasa kwenye kuwakuza na kuwatumia vizuri wachezaji kulingana na talents zao

Odoi amesikika akilalamika kuchezeshwa wing-back
Naamini wachezaji wengi hawaridhiki kuchezeshwa out out of position ili kufource 3-4-3 mfumo ambao unafaa tu kama wachezaji wote wanafit hapo

Tatizo la Chelsea kule mbele linaanzia katikati. Tangu atoke Fabregas hatuna kiungo mtoa pasi zile za hatari. absolutely hakuna, hadi tumpate huyo ndipo akina Mount, Pulisic, Odoi Ziyech walaumiwe
Kwa hiyo leo TT amekuwa mbaya?

Aiseeee...

Katika miaka 10 iliyopita makocha wawili bora wa Chelsea ni Antonio Conte na Thomas Tuchel.
 
Huo mfumo TT ndio best kwake. Amefika mwisho wa mfumo sioni akibadilika au kubadilisha mfumo. Bali namuona akistick na mfumo & style hii hii ya uchezaji wa timu linyeshe mvua liwake jua.

Kiufupi TT ni mwoga wa kupoteza mechi mfulilizo hayuko tayari kujaribu mfumo mpya bali atakomaa na huu huu akiamini majeruhi wakipona mfumo wake utaimarika ( pass fupi fupi, back pass milioni 1, ball position asilimia laki 5)
Kwani jamani huu mfumo si ndo ulikuwa unatupa matokeo, Nini kimebadilika?

Mbona huu msimu tulianza vizuri kabisa na mpaka kuna muda tukawa tunaongoza goal difference?

Okay abadili tucheze mfumo gani?
 
Shida ni wachezaj wetu, hata guardiola huwez kuta kabadilisha mfumo sana unakuta anabilisha tactics ila mfumo unakuta ule ule,
Zinchenko alikuwa mid lakin pep kamfanya amekuwa lb na anafanya kazi nzuri,

Klop msim uliopita alitumia hadi fabinho n henderson kama cb hakubadilisha mfumo. Kisa injury,

Issue ya kubadilisha mfumo huwa sio rahis kama tunavyozan kwa hawa makocha wakubwa, kubadilisha mfumo unaanza kuimplement idea zingine na huwa sikaz ndogo
Watu wanarahisisha tu mambo
 
Shida mfumo tunaotumia ni mgumu 343 sio mwepesi kama mnavyodhani timu nyingi zinachemka kucheza hivyo kama huna watu wa kueleweka shida tuliokuwa ni majeruhi wachezaji waliokuwepo hawafit

Hao liver wanacheza 433 mfumo wa kila timu hata wakiwa na majeruhi ni rahisi kufanya back up ya mchezaji mwengine tofauti na sie
Hivi umeshaiona Chelsea ikiwa haina majeruhi na ikacheza 4 3 3.

Ni kituko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom