Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.

Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.

Mimi naona kocha hatufai.
 
Pulisic, Odoi, Ziyech, Cheek, Barkey, Alonso waondolewe kikosini wanatupotezea muda tuu. Hawa wachezaji ukiwapeleka pale city hawapati nafasi kikosini hata ikifanyika rotation.

City anafanya vizuri kwa sababu ana kikosi kipana chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa unaokaribiana.

Sisi hapa 1st eleven yenyewe matakataka mengi huko kwenye benchi ndio hamna kitu.

Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana.

Huyo MOUNT tunayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya uwanjani zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.

Sawa majeruhi wapo lakini pia wachezaji wetu wana uwezo wa kawaida sana.
Afadhali leo mmeanza kuuona ubovu wa kikosi chenu ambacho mlikuwa mnadhani kinaogopeka.a

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.

Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.

Mimi naona kocha hatufai.
Nayo mlichukua kwa kiwango cha tundu la sindano(kubahatisha) lakini kwa uhalisia milizidiwa kwa kila kitu.
 
Hamna timu hapa
Screenshot_2021-12-30-08-47-28-64.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.

Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.

Mimi naona kocha hatufai.
kocha ni mzuri sana, kuchukua uefa na akina rudiga na silva naa christiansen ni ishara kuwa aliweza kukamua ubora wa juu zaidi kutoka kwa wachezaji avarage, mpeni wachezaji, kwa sasa hakuna pa kujificha timu zinahitaji vikosi vipana ambavyo vimesheheni wazee wa kazi wanaojua wanachokifanya uwanjani sio kina mount wana kariba ya uchoyo utadhani wanataka balon dor
 
Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana.

Huyo MOUNT tunayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya uwanjani zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.

Sawa majeruhi wapo lakini pia wachezaji wetu wana uwezo wa kawaida sana.
mdau mdau, punguza jazba nyie si ndio mlisema mnachukua kila kombe mnaloshiriki msimu huu
 
Tuchel amesababisha kwa kiasi kikubwa hii mechi tutoke suluhu, Pulisic toka lini akacheza ile nafasi. Huyu Odoi apigwe benchi akili imkae sawa
Ulitegemea afanyaje, wakat wachezaj wenyewe kila siku wanaumia,
James ndio huyo injury tumebakiwa na azp na alonso kama rwb$lwb, tumekwisha

Anyway zipo game pulisic or odoi washawai cheza kama rwb/lwb tangu tuchel aje
 
TT anatakiwa kubadilika sio kulazimisha mfumo mmoja kila mechi
Shida sio mfumo, shida ni kukutwa na majeruhi +covid, sidhan kama kunatim ambayo imekutwa na majeruh mengi+ covid kama sisi,
Kuna mechi tuliwah kuwa na wachezaj 13 tu walio fit,

Shida nyingine ni kutokuwa clinical katika umaliziaji, hawa watoto wanashindwa kufanya maamuzi sahihi katika wakat sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom