Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,355
- 77,168
Sisi hatujasajili badoToka tuanze kufukuza na kisajili tumeshanyanyua ndoo za wanaume mbili. Uefa champions league.
Wewe umenyanyua nn?:
Sisi hatujasajili badoToka tuanze kufukuza na kisajili tumeshanyanyua ndoo za wanaume mbili. Uefa champions league.
Wewe umenyanyua nn?:
Sasa nini kinawaleta humu ndani kama hamjasajili?Sisi hatujasajili bado
Hili si jumba bovu kila mpita njia anakuja kukojoleaSasa nini kinawaleta humu ndani kama hamjasajili?
Mbona wewe hukukojoa?Hili si jumba bovu kila mpita njia anakuja kukojolea
Team yako tafadhaliMmekata moto
Manchester unitedTeam yako tafadhali
Mlituamisha RR ni mwalimu wa TT mbona Man U imekuwa ya Hovyo kuliko hata ya Ole?Manchester united
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa sare sare mauaWana raha gani mpaka walale hadi muda huu, amkeni kenge nyie kabla Dany Welbeck hajawamwagia ndoo ya maji.
Lazima waseme wanakikosi kipana au wana takataka nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa kikosi kipana sasa hivi wamekuwa ni wazee wa utumbo mpana.
Utasema yeye mechi zake anashinda[emoji23][emoji23]Ongea tena , au jana pia mlikuwa pungufu?
Lile pia mlilopigiwa na madogo ulilionaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi namaanisha huu uzi ni jumba bovu. Kumbe wewe unamaanisha timu ndiyo jumba bovu? Ila nishalikojolea, tatu. Hadi kocha akafukuzwaMbona wewe hukukojoa?
Wanachelewa kufanya maamuzi mwishoe sosha apate teamMimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.
Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.
Mimi naona kocha hatufai.
Hata sisi tulishakojolea 6 jumba la arsenyetoMi namaanisha huu uzi ni jumba bovu. Kumbe wewe unamaanisha timu ndiyo jumba bovu? Ila nishalikojolea, tatu. Hadi kocha akafukuzwa
Hapo anaweza shinda mechi moja tuHII RATIBA [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2062368
Sosha anarudi man u soon. Maana RR hana maajabu.Wanachelewa kufanya maamuzi mwishoe sosha apate team
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kina cocastic huko kwenye chit chatanaenda kupambana na akina numbisa na wengine wa jukwaa la wasanii[emoji1787]
Ulimwambia na tuchelewe au uliishia kusema tuHuko nyuma nilishawahi kusema kumtegemea ODOI, CHEEK, BARKLEY ni hali ya hatare.
Nilisema hawa ni wachezaji wa Crystal palace.
Hawa ukiwapeleka city wanapigwa risasi getini.
Bakora tatu za kwendaHata sisi tulishakojolea 6 jumba la arsenyeto