42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Hao kunguni hawatoamini macho yao.hongereni kwa draw, ligi sio ya kikapu hii, next stop mo salah, sadio mane, dijk, na wengineo sijui itakuwaje na timu yenu tia maji tia maji
Hao kunguni hawatoamini macho yao.hongereni kwa draw, ligi sio ya kikapu hii, next stop mo salah, sadio mane, dijk, na wengineo sijui itakuwaje na timu yenu tia maji tia maji
Wazee wa kikosi kipanaPulisic, Odoi, Ziyech, Cheek, Barkey, Alonso waondolewe kikosini wanatupotezea muda tuu. Hawa wachezaji ukiwapeleka pale city hawapati nafasi kikosini hata ikifanyika rotation.
City anafanya vizuri kwa sababu ana kikosi kipana chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa unaokaribiana.
Sisi hapa 1st eleven yenyewe matakataka mengi huko kwenye benchi ndio hamna kitu.
Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana. Huyo MOUNT mnayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.
Pulisic, Odoi, Ziyech, Cheek, Barkey, Alonso waondolewe kikosini wanatupotezea muda tuu. Hawa wachezaji ukiwapeleka pale city hawapati nafasi kikosini hata ikifanyika rotation.
City anafanya vizuri kwa sababu ana kikosi kipana chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa unaokaribiana.
Sisi hapa 1st eleven yenyewe matakataka mengi huko kwenye benchi ndio hamna kitu.
Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana.
Huyo MOUNT tunayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya uwanjani zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.
Sawa majeruhi wapo lakini pia wachezaji wetu wana uwezo wa kawaida sana.
Mdogo mdogo tunaanza kuongea lugha moja kenge ninyiTukisema ukweli tunaonekana hatujui mpira. Nimewahi sema hapa, tusijifiche kwenye kivuli cha majeraha timu yetu ina matakataka mengi mno. Huwezi shindana na city ama liva kwa michezaji ile.
Wana raha gani mpaka walale hadi muda huu, amkeni kenge nyie kabla Dany Welbeck hajawamwagia ndoo ya maji.Bado mmelala mtapeli wa London
Team la kifala sana hili



Wazee wa kikosi kipana sasa hivi wamekuwa ni wazee wa utumbo mpana.Wazee wa kikosi kipana sasa hivi wamekuwa ni wazee wa utumbo mpana.



hamnamo team humo saa hii ni msimu wa kuangua maembe tu washapoteana kitambo.Siku hizi ni wazee wa utumbo mpana.Wazee wa kikosi kipana
Mnakwenda kwenye chupa za mirinda nyeusi kenge nyie.Majeruhi tena
James
Christansen
Wapi tunakwenda The Blues
Sasa ukisikia maiti kagoma kuingizwa ndani ya jeneza ndo j'pili hakika watavunjana miguu hawa viumbe,na mwisho wa game wataambulia point 1/1.Itakuaje dhidi y'all Liverpool jpili?![]()
Ongea tena , au jana pia mlikuwa pungufu?Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea.
Mbona Chelsea inawanyima sana usingizi?
Mi nafikiri kila timu ishinde mechi zake.
Mnalala mnamuwaza mume wenu Chelsea![]()
DuuuuhMkwenda kwenye chupa za mirinda nyeusi kenge nyie.
Hawana team hawa, hata ukiangalia uchezaji wao sikuhizi wanashinda kwa ngekewa tu.Marehemu alikuwa na mdomo sana.
Thomas Tuchelewe mbinu zimeisha.
Pumbafu.
TT kocha wa duniaTT anatakiwa kubadilika sio kulazimisha mfumo mmoja kila mechi
