Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hio quickly as possible ni miaka mingapi?
Tuchel ni kifupi, kirefu chake ni Tuchelewe.
Hapa ni mwendo wa draw mpaka Tuchelewe.
Naona wazee wa kikosi kipana sasa hivi mmekua wazee wa utumbo mpaka
Wivu mbele kwa mbele, katupa UCL kombe lenye heshima duniani. Sasa hivi mtaani ukijulikana Chelsea unaheshimika sio kama Arsenal na Manure, wala majani nyie
 
Wivu mbele kwa mbele, katupa UCL kombe lenye heshima duniani. Sasa hivi mtaani ukijulikana Chelsea unaheshimika sio kama Arsenal na Manure, wala majani nyie
nyie fanyeni maskhara hivyo hivyo muone kama mtabaki kwenye top 4.
 
TT Anamtaka Reuben Neves kusaidia kwenye kiungo baada ya dau la mkopo wa Saul kuleta matokeo mabaya

According to reports, Thomas Tuchel has made a personal plea to Chelsea ahead of the January transfer window.

After apparently losing patience with on-loan Atletico Madrid midfielder Saul Niguez, the German has requested that the Blues make a move for Wolverhampton Wanderers midfielder Ruben Neves, who is currently valued at £38m by transfermarkt.

It remains to be seen whether that would be in January or in the summer due to the terms of the Spaniard’s loan but could be one to keep an eye on.

Maoni ya mdau


AgentX49
16 MIN AGO
Well when it comes to Neves we could do with a midfielder that can pass further than 10 yards! Jorginho's short passes keep the ball moving quickly but are rarely incisive. Kante is a runner, Kovacic prefers to dribble, Loftus-Cheek prefers to dribble SLOWLY, Barkley's a comedy act, Saul is absolutely out of his depth in a Premier League midfield. We do need a 'distance passer'. We haven't really had one since Cesc Fabregas left us. A squad needs a bit of everything, every 'skills discipline' covered. We don't have that 35 yard defence splitting passer. And that's odd considering we have so many willing runners in our front line [Lukaku aside obviously!] you'd think it would have been a prioritised tactical weapon when this squad was being put together!
 
Hahaha!...yaweza kuwa ni tapeli kweli maana huwezi kuwa unapoteza games alafu unasema eti ummeunda timu inayoogopwa na hakuna timu inayotaka kucheza nao, ukishakuwa unapoteza mchezo/michezo huwezi kuwa unaogopwa tena.
Small IQ inapojaribu kujadili vitu vizito wapi alisema "ametengeneza" future na present tense kwako ni rocket science then unakimbilia kubeti unakuja humu unapayuka
 
Kuna kila dalili EPL ikaahirishwa hadi janga la Omicron liishe
 
1640009172986.png
 
Kama kuna kinabo yoyote wa cheltako yupo karibu na Msata ajitokeze akiwa kavaa hilo tambara aone nitakachomfanya.
Mi mwenyewe nilikuwa namtafuta angalau mmoja nimwambe makofi takataka hizi
 
Mbona phase two ya sentence hamsemi?
TT kasema Tutajenga timu ambayo hakuna timu itakayotaka kupambana nayo
Changamoto kubwa ni jinsi ya kufanya hivyo kwa mapema iwezekanavyo

"We will build a team that nobody wants to play against. And that's the challenge for me to do that as quickly as possible.".

Dalili za hiyo timu kwanza ilibeba UEFA kwa kuzichachafya timu zilizpigiwa upatu wa kubeba hilo kombe
kama ndivyo sawa mkuu na kwasababu hiyo basi INABIDI AVUMILIWE KWELI MAANA ATA YEYE KUMBE ALIDAI CHANGAMOTO NI MUDA...NA MUWE TAYARI KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA MSIMU HUU au MSIMU KESHO MAANA IYO TEAM YAKE ANAYOITAKA HAJAITENGENEZA BADO, nasio kupiga kelele za title inapotokea mmepoteza game!
 
Small IQ inapojaribu kujadili vitu vizito wapi alisema "ametengeneza" future na present tense kwako ni rocket science then unakimbilia kubeti unakuja humu unapayuka
Sawa ndugu yawezekana NI KWELI IQ-YANGU NDOGO ILA HAIJAFIKIA LEVEL YA KUNIPA MENTAL RETARDATION kama uliyonayo wewe!
 
Shida ya Chelsea ya Lampard ilikuwa ni kushindwa kufunga na kuconcede magoli ya kizembe
Kinachotokea sasa ni ile ile, umaliziaji mbovu na kukoncede magoli ya kizembe, No deference ndg
Chelsea ya Lampard ilikuwa inagombea nafasi ya nne na inapata mechi za mwisho
Hii tuliyonayo nayo inaelekea hivyo hivyo, kugombea nafasi ya nne na Westham, Spurs na Wolves subiri tuone
Aah hii Chelsea ya sasa haifanani na ya Lampard Mzee embu tutake radhi
 
Mkuu nilichokiona kwa sasa epl hapo watu wameshawajulia ni mwendo wa 6-3-2. Kupata ushindi kwa sasa ni ngumu sana na hamna watu wakufunga wazuri.

Wolves wamekaa nyuma muda wote,ilikuwa inatakiwa mipira mirefu kabla hawajarudi.

Mkiwa na mpira wolves beki wanakuwa 6 mbele wanaongezeka 3 halafu 2 wanakuwa mbele tu hapo wanatembea.

Hapo kufunga goli ngumu watu 9 nyuma unafungaje?

TT ABADILIKE EPL Watu wanaakili timamu sio ligi ya timu moja.

Mimi sijashangaa hayo matokeo.
Duh kwahyo wolves waliingia na wachezaji zaidi
 
Aah hii Chelsea ya sasa haifanani na ya Lampard Mzee embu tutake radhi
Hata me nimeshangaa aiseee....

Ingawa timu ya lampard ilikuwa inadrive kwenda mbele haraka...

Rejea ile match tunampiga man city goal mbili kama sijakosea.

Kina fernandinho wanajigonga Pulisic anatembea na mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom