Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mambo yote yatasahaulika lakini sio maneno aisee "NDOMAANA WAHENGA WANAKWAMBIA CHUNGA KAULI ULIMI ULIPONZA KICHWA".....sasa hayo maneno ya Tuchel kutengeneza timu ya kuogopwa na hakuna timu itakayotaka kucheza nao YALISIKIKA NA WATU WAKAYAHIFADHI...na kama unaweza kutengeneza timu ya aina iyo inabidi abebe ubingwa maana hatakiwi kupoteza game....YEYE ALIYAONGEA AKIMFURAHISHA MWAJIRI WAKE BWANA. ROMAN bila kujua ile ni EPL Na ina makocha wanaprofile kubwa zaidi yake kina Klopp na Pep na hawavimbi...maana kimafanikio ya titles Huyo TUCHEL HAINGII ATA ROBO YA PEP-GUARDIOLA(maana jamaa yupo kwenye top 5-list ya makocha bora wa muda wote Duniani), sasa ngoja wakose huo ubingwa wa EPL ili tumuulize mbona timu yenyewe hatujaiona bwana Tuche...Na hiyo kauli itawarudia x1000times.
View attachment 2050909

Haya watuambie HUYO MZEE WAKUJENGA TIMU YA KUOGOPWA...Yupo wapi hapo???....NA KAMA HAYUPO WASEME JE ANAFIKIA ATA ROBO YA HIZO ACHIEVEMENTS NA KAMA HAFIKII...WATUAMBIE KAMA PEP AMESHINDWA KUTENGENEZA HIYO TEAM ALIYOISEMA YEYE, JE HUO UVIMBE WAKUSEMA HIVYO TUCHEL AMEUTOLEA WAPI?
View attachment 2050887

View attachment 2050892
View attachment 2050894
Tuchel ni kiarabu kwa kiswahili ni Tapeli
 
Oyaaaa umepewa talaka nini leo?

Mbona kana unaleta humu hasira za mume wako?

Yes tulipigwa tano kilichofuata je?

Wewe si tumekutoboa mbili bila msimu huu mbona heshima imeshuka?

Umeanza kuwashwa eh?
Ni ujinga tu. Yanaruka ruka yakiishiwa hoja yanakimbilia 'Tulichukua Cl' hiki kikundi cha ngedere kina kelele sana
 
Mkuu huyo kocha wenu abadilishe mbinu bila hivyo ataishia kupiga pasi na kumiliki mpira tu magoli hapati.

Sasa hivi ni mwendo wa6-3-2 hapo ataiweje hamna uwezo wakupata goli.liverpool na man city wanaelewa

Matokeo ya leo mimi sijashangaa wala siwalaumu.
Labda city Liver bado hajaelewa
 
Mambo yote yatasahaulika lakini sio maneno aisee "NDOMAANA WAHENGA WANAKWAMBIA CHUNGA KAULI ULIMI ULIPONZA KICHWA".....sasa hayo maneno ya Tuchel kutengeneza timu ya kuogopwa na hakuna timu itakayotaka kucheza nao YALISIKIKA NA WATU WAKAYAHIFADHI...na kama unaweza kutengeneza timu ya aina iyo inabidi abebe ubingwa maana hatakiwi kupoteza game....YEYE ALIYAONGEA AKIMFURAHISHA MWAJIRI WAKE BWANA. ROMAN bila kujua ile ni EPL Na ina makocha wanaprofile kubwa zaidi yake kina Klopp na Pep na hawavimbi...maana kimafanikio ya titles Huyo TUCHEL HAINGII ATA ROBO YA PEP-GUARDIOLA(maana jamaa yupo kwenye top 5-list ya makocha bora wa muda wote Duniani), sasa ngoja wakose huo ubingwa wa EPL ili tumuulize mbona timu yenyewe hatujaiona bwana Tuche...Na hiyo kauli itawarudia x1000times.
View attachment 2050909

Haya watuambie HUYO MZEE WAKUJENGA TIMU YA KUOGOPWA...Yupo wapi hapo???....NA KAMA HAYUPO WASEME JE ANAFIKIA ATA ROBO YA HIZO ACHIEVEMENTS NA KAMA HAFIKII...WATUAMBIE KAMA PEP AMESHINDWA KUTENGENEZA HIYO TEAM ALIYOISEMA YEYE, JE HUO UVIMBE WAKUSEMA HIVYO TUCHEL AMEUTOLEA WAPI?
View attachment 2050887

View attachment 2050892
View attachment 2050894
Mbona phase two ya sentence hamsemi?
TT kasema Tutajenga timu ambayo hakuna timu itakayotaka kupambana nayo
Changamoto kubwa ni jinsi ya kufanya hivyo kwa mapema iwezekanavyo

"We will build a team that nobody wants to play against. And that's the challenge for me to do that as quickly as possible.".

Dalili za hiyo timu kwanza ilibeba UEFA kwa kuzichachafya timu zilizpigiwa upatu wa kubeba hilo kombe
 
Acha ufala Kenge wewe. Yes alitengeneza timu inayotisha ndio maana akabeba UCL.

Au ulikuwa hujazaliwa?
Na sehemu ya pili ya kauli ya TT hawaisemi kabisa
"...., And that's the challenge for me to do that as quickly as possible"
 
Na sehemu ya pili ya kauli ya TT hawaisemi kabisa
"...., And that's the challenge for me to do that as quickly as possible"
Hio quickly as possible ni miaka mingapi?
Tuchel ni kifupi, kirefu chake ni Tuchelewe.
Hapa ni mwendo wa draw mpaka Tuchelewe.
Naona wazee wa kikosi kipana sasa hivi mmekua wazee wa utumbo mpaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom