Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa maoni yangu bado mechi moja tu kupoteza pts tusahau title race

Mkuu nilichokiona kwa sasa epl hapo watu wameshawajulia ni mwendo wa 6-3-2. Kupata ushindi kwa sasa ni ngumu sana na hamna watu wakufunga wazuri.

Wolves wamekaa nyuma muda wote,ilikuwa inatakiwa mipira mirefu kabla hawajarudi.

Mkiwa na mpira wolves beki wanakuwa 6 mbele wanaongezeka 3 halafu 2 wanakuwa mbele tu hapo wanatembea.

Hapo kufunga goli ngumu watu 9 nyuma unafungaje?

TT ABADILIKE EPL Watu wanaakili timamu sio ligi ya timu moja.

Mimi sijashangaa hayo matokeo.
 
Adjustments.jpg
 
Another match without penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom