Sasa unaweza ifananisha aser8 na Chelsea kweli !?[emoji15]Apia
Na 2003 ndiyo mwaka chelsea inaanzishwa.Sasa unaweza ifananisha aser8 na Chelsea kweli !?[emoji15]
Nyie vibonde since 2003
Mcheki hili takataka la arse8, wewe unaweza kumpiga Brentford?Na 2003 ndiyo mwaka chelsea inaanzishwa.
Coincidence?
Wewe tako unaweza kumpiga westham?Mcheki hili takataka la arse8, wewe unaweza kumpiga Brentford?
Hesabu 2003 hadi sasa miaka mingapiNa 2003 ndiyo mwaka chelsea inaanzishwa.
Coincidence?
Imagine chelsea imeanzishwa 2003 na ina UCL mbili.Na 2003 ndiyo mwaka chelsea inaanzishwa.
Coincidence?
Actually umekubaliana na mimi kwamba huo mwaka ndiyo hivi vinabo vilikubaliana kucheza mpira.Hesabu 2003 hadi sasa miaka mingapi
2000's ndio mapinduzi ya soka la uwekezaji lilipoanza
Nyie mlitupwa nje ya ulingo.
Hamjawahi beba EPL since 2003
Hajawahi beba UEFA maisha mwenu [emoji1787][emoji1787]
Man shity itabeba UEFA kabla coz hampo serious na uwekezaji wenu
Nyie ni vibonde tu.club masikini
Palipo na umakini utasika kelele nyiingi
Sasa mmezihamishia huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anything is possible mbele ya mmiliki anayefocus na mafanikio ya klabu.Imagine chelsea imeanzishwa 2003 na ina UCL mbili.
Cry harder.
Mzee mmekazania Hilo suala la uwanja[emoji23] duh....nyie na uwanja wenu soon mtazidiwa na man city n Newcastle pia ambao hawana uwanja na viwanja wavitumiavyo vinamilikiwa na manispaaAnything is possible mbele ya mmiliki anayefocus na mafanikio ya klabu.
Leicester imepanda imekaa msimu imechukua kombe, miaka kadhaa mbele wana uwanja wao nyinyi mbona hamna uwanja? Na mmeanzishwa 2003.
Ndiyo kwanza leo nimeandika kuhusu uwanja.Mzee mmekazania Hilo suala la uwanja[emoji23] duh....nyie na uwanja wenu soon mtazidiwa na man city n Newcastle pia ambao hawana uwanja na viwanja wavitumiavyo vinamilikiwa na manispaa
Wewe mbuzi tutolee kelele apa hamna timu nyie matakataka itabidi tufanye utaratibu uondoke kabisa humu.Anything is possible mbele ya mmiliki anayefocus na mafanikio ya klabu.
Leicester imepanda imekaa msimu imechukua kombe, miaka kadhaa mbele wana uwanja wao nyinyi mbona hamna uwanja? Na mmeanzishwa 2003.