Hii mambo ya Tuchel kuweka DM wawili ilishatukaanga game ya City....
At least Kova alitakiwa kuwanza na mmoja kati ya Kante au Chalobah.



Zaidi ya Kova kuna nani mwingine wa maana hapo?Hadi sasa
Labda TT abadili mbinu baada ya HT otherwise tusitegemee matokeo makubwa leo
- Possession wise wolve wako juu yetu
- Tencicality wako juu
- tactically wako juu
- clinically wako juu
Arsenal ni arsenal tu....Ninawapa tahadhari for the coming 3 matches ikianzia na hii msipokusanya points za kutosha tusije kulaumiana when tutakapokuwa tunaenda kwenye International matches![]()
Msijali makombe yote yenu msimu huu, ni upepo tuHii mambo ya Tuchel kuweka DM wawili ilishatukaanga game ya City....
At least Kova alitakiwa kuwanza na mmoja kati ya Kante au Chalobah.
Kova kaingia, Mungu atusaidie tubebe points 3Zaidi ya Kova kuna nani mwingine wa maana hapo?
Sielewi hata kwanini rufaa yetu imekataliwa ya kutocheza hii match.
Imagine hizo ndio sub zote za chelsea.
Tujiandae kwa matokeo yoyote kama mtu aliangalia game ya Wolves vs Liver au Man city vs wolves halafu leo match ikaisha akaanza kutukana atakuwa msenge....
View attachment 2049983
Kipindi cha pili tunacheza vizuri ni ishu tu ya kupata goal.Kova
Kova kaingia, Mungu atusaidie tubebe points 3
Kushinda hiyo game labda mpewe penaltKipindi cha pili tunacheza vizuri ni ishu tu ya kupata goal.
Hii probably ishalala. Haina shida.Kushinda hiyo game labda mpewe penalt
Nakupa tahadhari hehehehehehe up to now zinabakia 6 points only na una games na Aston villa Brighton na Liverpool next matches heheheheheheheHii probably ishalala. Haina shida.
So far I dont have a problem with Tuchel.
Wewe una Wolves, Norwich na Man city.....Nakupa tahadhari hehehehehehe up to now zinabakia 6 points only na una games na Aston villa Brighton na Liverpool next matches hehehehehehehe