42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Hata mimi nimeishangaa hiyo 6 3 2Duh kwahyo wolves waliingia na wachezaji zaidi
Hata mimi nimeishangaa hiyo 6 3 2Duh kwahyo wolves waliingia na wachezaji zaidi
Hawa wote ukimtoa guardiola wamesgapitwa na wakati kwa sasaMambo yote yatasahaulika lakini sio maneno aisee "NDOMAANA WAHENGA WANAKWAMBIA CHUNGA KAULI ULIMI ULIPONZA KICHWA".....sasa hayo maneno ya Tuchel kutengeneza timu ya kuogopwa na hakuna timu itakayotaka kucheza nao YALISIKIKA NA WATU WAKAYAHIFADHI...na kama unaweza kutengeneza timu ya aina iyo inabidi abebe ubingwa maana hatakiwi kupoteza game....YEYE ALIYAONGEA AKIMFURAHISHA MWAJIRI WAKE BWANA. ROMAN bila kujua ile ni EPL Na ina makocha wanaprofile kubwa zaidi yake kina Klopp na Pep na hawavimbi...maana kimafanikio ya titles Huyo TUCHEL HAINGII ATA ROBO YA PEP-GUARDIOLA(maana jamaa yupo kwenye top 5-list ya makocha bora wa muda wote Duniani), sasa ngoja wakose huo ubingwa wa EPL ili tumuulize mbona timu yenyewe hatujaiona bwana Tuche...Na hiyo kauli itawarudia x1000times.
View attachment 2050909
Haya watuambie HUYO MZEE WAKUJENGA TIMU YA KUOGOPWA...Yupo wapi hapo???....NA KAMA HAYUPO WASEME JE ANAFIKIA ATA ROBO YA HIZO ACHIEVEMENTS NA KAMA HAFIKII...WATUAMBIE KAMA PEP AMESHINDWA KUTENGENEZA HIYO TEAM ALIYOISEMA YEYE, JE HUO UVIMBE WAKUSEMA HIVYO TUCHEL AMEUTOLEA WAPI?
View attachment 2050887
View attachment 2050892
View attachment 2050894
Na jamaa bado anakomalia kwenye msg zake ooh cjui beki zinakuwa 6 nyuma... mbele Yao wapo 3 cjui blablabla nnHata mimi nimeishangaa hiyo 6 3 2

Sasa wewe umejuaje hizo timu anazocheza nazo haziogopi?
Muyamba ndani,Kesho kuna uwezekano wa baadhi ya kikosi chetu kikiwa na wachezaj wa u23 hii ni kutokana na covid na majeruhi tuliyonayo sasa
London kuna timu ya wanaume moja tu nayo ni Chelsea the londonorsHoja za kipuuzi.
Wakiona upuuzi wao hauna maana tena wanakimbilia hoja ya
'Tumeshinda CL'
Ngedere wakubwa.
Arsenal kaifunga Westham 2 - 0Chelsea still ni best team kwa sasa.
Matokeo ya kipindi hiki ni mpito tu lakini tunafanya vingi katika match tunachokosa na clinical finishing.
Mashabiki wa man u na arsenal ndo wanabwabwaja kuhusu matokeo yetu lakini cha kushangaza tuko juu yao kwenye table msimu huu tumefungwa match 3 tu tena na timu ngumu ambazo ni City, Juve na west ham ambaye kwa msimu kawafunga top 6 karibia wote.
Shabiki ambaye anaruhusiwa kutucheka labda wa man city.
Mdomo uko kwa mashabiki wa man u ambao mziki wanauelewa kwenye match dhidi yetu walipata tabu ile draw wanamshukuru tu Mungu.
MAN U wanafurahi sana draw tunazopata kipindi hiki wakati wao wana miaka zaidi ya minne hawana hata kikombe cha chai.
CHELSEA MSIMU HUU TUNAWANIA VIKOMBE VINGI KULIKO TIMU YOYOTE ULAYA.
HIYO FEBRUARI tunaanzia nusu final club world cup hapo middle East.
EFL bado tupo.
FA bado tupo.
Ligi kuu bado tupo.
UEFA bado tupo.
Msimu huu tayari tuna kikombe kimoja kikubwa sana
UEFA SUPERCUP 2021.
NA TUWAKUMBUSHE TU CHELSEA NDO BINGWA MTETEZI WA LIGI YA MABINGWA ULAYA.
CHELSEA HOME OF CHAMPION
ApiaLondon kuna timu ya wanaume moja tu nayo ni Chelsea the londonors
Wengine wote hamna tofauti na ihefu
Ndio kombe lako la kuifunga westhamArsenal kaifunga Westham 2 - 0
Kombe langu ni kuwafunga vibonde wangu cheltako na nyumbu.Ndio kombe lako la kuifunga westham
lukaku kakufanyajeKombe langu ni kuwafunga vibonde wangu cheltako na nyumbu.

Hivi yupo huyu mtu? Nasikia ana magoli matatu tu tangu karudi cheltakolukaku kakufanyaje
Sent using motorola 78
Tuchelewe aendelee kubaki tuna imani nae katika kutuchelewesha.Tuchel kishaishiwa mbinu tufanye haraka tumchukue sosha kabla hajapata team.
Man U ndio amefungua geti lenu la draw, sasa hivi kenge wa darajani ni mwendo wa kudraw mpaka mtoke kwenye top 4.Chelsea still ni best team kwa sasa.