900 for nothing ni ujinga
Zamani attempts zilikuwa nyingi sana langoni hasa mashuti ya mbali wing back na viungo wanfumua mashuti sana
Siku hizi tunacheza kama ile barca ya mwisho tunataka kupenya mpira kwenye box ukutane na mtu
Wahuni washashtukia wanapaki basi
Hii sio sawa
Pigine pass za kutosha ila pigine mashuti golini .
Halafu ni kama wameambiana Chelsea dawa yao kupaki basi .
Mimi Chelsea dia hard fan since Chelsea ya akina makelele,marcel desailly,gudjensen ,mateja kezman,zola,tore ander flo, those days under ranieri
Ninakuwa na mhaho kila timu inapocheza we need to change our style aise sio kila mtu wa wa kumpigia pass nyingi