Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwahiyi hata ukikuta chelsea kapiga pasi 900 kwa mechi usistuke cha msingi angalia ubao unasoma vipi si ndio?
900 for nothing ni ujinga

Zamani attempts zilikuwa nyingi sana langoni hasa mashuti ya mbali wing back na viungo wanfumua mashuti sana

Siku hizi tunacheza kama ile barca ya mwisho tunataka kupenya mpira kwenye box ukutane na mtu

Wahuni washashtukia wanapaki basi

Hii sio sawa

Pigine pass za kutosha ila pigine mashuti golini .

Halafu ni kama wameambiana Chelsea dawa yao kupaki basi .

Mimi Chelsea dia hard fan since Chelsea ya akina makelele,marcel desailly,gudjensen ,mateja kezman,zola,tore ander flo, those days under ranieri

Ninakuwa na mhaho kila timu inapocheza we need to change our style aise sio kila mtu wa wa kumpigia pass nyingi
 
Haya majamaa ukisema Westham hao huku unapigapiga miguu chini wanatoka nduki[emoji237][emoji237][emoji237][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli ni homosexual. Wewe ni shahidi maana huwa anakusukumia hogo
images (11).jpeg

naona unamtetea basha wako anaekupumulia kisogoni na kukufanya uwe na tabia za kike mpaka kuiga majina ya wanaume wenzako mfanywa nyuma Sarri
 
Man City msiongee nyie ni kama Aseno tu hamna UEFA hata ya ushahidi
Ajax ana UEFA 4 ,league cup 30 ....

Unajua Nini CL hata Lille anachukua ,is not big deal bro ....

Wewe pambana na li timu lako la hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ajax ana UEFA 4 ,league cup 30 ....

Unajua Nini CL hata Lille anachukua ,is not big deal bro ....

Wewe pambana na li timu lako la hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Beba Sasa Kama it's not a big deal [emoji1787][emoji1787]
 
Ajax ana UEFA 4 ,league cup 30 ....

Unajua Nini CL hata Lille anachukua ,is not big deal bro ....

Wewe pambana na li timu lako la hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu mkuu msimu bado sana..hata Aseno anaweza kubeba kombe
 
Alafu mkuu msimu bado sana..hata Aseno anaweza kubeba kombe
Wewe Kama ni shabiki wa arsenal unajifaliji sawa ,hata hao wakina Saka wanaocheza uwanjan kutafuta point 3 wanajua mziki wa kuchukua epl ,na wameshakata tamaa ,wanapigania top 4 ,sijui unataka kusemaje aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hawawezi kuchukua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom