Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aiseee humu kuna nzi wamejaa Sana[emoji23] sasa ndo nn hii
Huo ndo ukweli unaoumiza unajiita title contender unashindwa kuifunga Manchester United mbovu kabisa ambayo ilifungwa 5 na liverpool na man city akajipigia wewe upo kwako unaomba kusuruhu tena kwa penalty ya mchongo, unashindwa kumfunga Everton tena aliyechezesha vitoto vya academy,
 
Huo ndo ukweli unaoumiza unajiita title contender unashindwa kuifunga Manchester United mbovu kabisa ambayo ilifungwa 5 na liverpool na man city akajipigia wewe upo kwako unaomba kusuruhu tena kwa penalty ya mchongo, unashindwa kumfunga Everton tena aliyechezesha vitoto vya academy,
yani hujakosea kiongozi ile everton ni almost Academy youngsters...we ona sports news wanasema "CHELSEA left in a sticky mess by YOUNG TOFFEES"

FireShot Capture 097 - CHE 1-1 EVE - Chelsea - Everton - Match Summary - www.flashscore.com.png
 
Mkuu hiyo mechi tayari chelsea anafungwa hiyo.

Haiitaji mjadala .
wale jamaa wagumu sio wa mchezo kabisa...nilishangaa sana ile high level of defense waliyoionyesha na hapo LIVER NA CITY wanafwd kali ujue ila ilikuw mbinde sio ya kawaida...waombe mungu kina LUKAZIGO wawe wamerudi maana kwa uchezaji wa kina Pulsic na ziyech Hawawezi toboa ule ukuta kizembe.
 
Mkuu hao hawana wachezaji wa kuwapa ubingwa.

Timu ni ya kawaida tu hiyo, kocha huyo msimu ujao watamtimua alikuwa anafikiri Epl ni ligi ya timu moja eti timu ziogope kukutana nae.[emoji3].
EPL si mchezo yani hadi kumalizika game za hii december ndo itajulikana kiuhalsia wanaochallenge TITTLE ni kina nani.
 
Kabla hamjaingia kwenye league na wanaume ,mmeoma fixture yenu hii TT mwenyewe mbele anaona Giza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048290
kiuhalisia fixture zimebana sana...ila nachoona hapo kwa chelsea hali si shwari mwepesi hapo labda brighton maana hao villa na wolves shughuli yao tulishaiona ni hatariii. iyo game na spurs vs liver nayo ni chafu maana hao jamaa wameshapumzika vya kutosha hawajachez mechi 3 hivyo players wa spurs hawana fatigue kabisa compared to liver hii game si ya kukosa kuitazama hii pia tukumbuke saiv coach wa spurs si Nuno tena ni conte(mzee wa michezo michafu) so won't be easy.

37a1de10-cbdd-44f9-addc-7bd806b0cfd4.jpg
 
TULIKUA TUNATEGEMEA BEKI NDO ZIFUNGE MAGOLI HUKU WASHAMBULIAJI WETU WAKIWA WAMELALA ,TENA KUNA KUBWA JINGA TUMELINUNUA KWA 100M ,BEKI ZINATUMIA NGUVU MALA MBILI KUSHAMBULIA NA KULINDA.
 
TULIKUA TUNATEGEMEA BEKI NDO ZIFUNGE MAGOLI HUKU WASHAMBULIAJI WETU WAKIWA WAMELALA ,TENA KUNA KUBWA JINGA TUMELINUNUA KWA 100M ,BEKI ZINATUMIA NGUVU MALA MBILI KUSHAMBULIA NA KULINDA.
Mkuu unaumia sana pole ila sizani kma mpira uko hivyo unavooona na utakavyo wwe mkuuu punguza kuogopa inzi wa JF utakuwa huru sana
 
Mkuu unaumia sana pole ila sizani kma mpira uko hivyo unavooona na utakavyo wwe mkuuu punguza kuogopa inzi wa JF utakuwa huru sana
Hamna mzee huku mtaani watu tulishajiaanda kulipokea kombe mwakani lakini city na liver na wanatuacha mdogomdog kuja kushtuka umeachwa point 15 na nafasi ya 4 itaanza kuwa ya kugombania
 
Kwani lengo la kuwa uwanjani ni ball possession,short on target na short of target?

Huwa hatujari mchakato,Tuna angalia Final results.


Swala la bahati haikuwa yako,BAHATI HUENDA KWA WALIO JIANDA.

Swala la sijui tulifanyejee,injury,kocha lakini ndo ivyooo... NI KUTAFUTA VISINGIZIO NA VIJISABABU TU.

KUBALI TIMU NI MBOVU,NDO UWEZO WAO WA MWISHO ULIPO ISHIA,
Kwako wewe team bora ni ipi
 
Ndio hapo halafu mie naona kma jamaa presh za JF ZINAMCHAMGANYA SANA
Na wengi humu wako hvyo,ukiangalia man city,bayern,liverpool,kuna muda wanabanwa na viteam vidogo mpka unashangaa,PSG ina ule utatu mtakatifu inakufa mbele ya kiteam kulichopewa na mhindi odds 15...Wanakuja kushangaa chelsea inayofundishwa na benitez kumdindia chelsea,wanadhani benitezi ni seleman matola..wanadhani labda moyes ni Ni cedric kaze,wao hawajui kuwa makocha hao wanatumia muda mwingi kuharibu mbinu za mpinzani

Team ingekuwa haichezi hapo sawa,ingekuwa haictreate chance sawa,ila wanasimangwa na washabiki pinzani na wao wanapaniki..kombe bado sana kusema tumelikosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom