Kuna habari zimetoka kuwa kuna wachezaji watatu wamegundulika kuwa na Corona ukiachana na Mateo kovacic ...bado haijajulikana ni wachezaji gani haoVs Everton fc
Line up Prediction
-------- Werner --- Harvtez ---- Mount ----------
Alonso ---- Jognho ------ Cheek ------ James
-------- Rudger ------ Silva ----- Chalobah ------
[emoji117] Udhaifu utaendelea kuonekana hapo kwenye kiungo, na TT kwenye press conference alisema Kante atakuwepo kwenye benchi, ila haoni haraka ya kuhuwahisha kumchezesha ijapokuwa inatamanisha kumuona Kante uwanjani.
Nasikia n huko la Liga ktk club y real Madrid Napo kuna kesi z Corona nyingiWeweeee duh inawezekana ligi ikasimamishwa. Mechi ya Tote na Leicester imehairishwa
klop akitumia mfumo mmoja haumii ..Tuchel akisema anatumia mmoja ataumia....mahater bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ataumia
Kweli mkuuuMwanadamu akikuchukia hata ukicheza kwenye maji atalalamika unamtimulia vumbi.
Wachezaji watano wana Covid19 match ya leo ngumu aiseeeeVs Everton fc
Line up Prediction
-------- Werner --- Harvtez ---- Mount ----------
Alonso ---- Jognho ------ Cheek ------ James
-------- Rudger ------ Silva ----- Chalobah ------
[emoji117] Udhaifu utaendelea kuonekana hapo kwenye kiungo, na TT kwenye press conference alisema Kante atakuwepo kwenye benchi, ila haoni haraka ya kuhuwahisha kumchezesha ijapokuwa inatamanisha kumuona Kante uwanjani.
Lukaku, Werner, Odoi na Chiwell, Havertz pia hajisikii poa ila bado haijawa confirmed.Kuna habari zimetoka kuwa kuna wachezaji watatu wamegundulika kuwa na Corona ukiachana na Mateo kovacic ...bado haijajulikana ni wachezaji gani hao
Corona hiii kitu hatari sana kuna kusimamishwa kwa michezo nakuonaaaYaani leo bench hamna hata watu wa kueleweka. Labda Kante.
Hata Everton Sioni kina Gray, richarlison, Townsend, Yule beki wao mcolombia ,Allan ...hizi ligi zitasimamishwaWachezaji watano wana Covid19 match ya leo ngumu aiseeee
Klopp Huwa anachange kutegemeana na timu anayo kutana nayoklop akitumia mfumo mmoja haumii ..Tuchel akisema anatumia mmoja ataumia....mahater bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuuu mbona tunacheza vzr tuTukipigwa hii mechi sitoshangaa kabisa
Hii timu inakatisha tamaa sasa
Hakuna shots on Target wanapiga pasi nyiiingi zisizo na kichwa wala miguu
Back pass kila wakati inakera sana mpira wanacheza mabeki jorginho na cheek tu
Kule mbele wako bize WTF
Inakera na kuboa
Everton wanafunguka kwa counter attacks
Sasa sijui ndio mpira anaofundisha TT au ni kukosekana kwa viungo wanaopenda shambulia
Jorgiho bila kante ni sawa na pascal wawa tu hawezi ibeba timu yeye kama yeye ukiondoa penati zako
Inakera sana
Yani Asipo change tactics na system,TT ataumizwaa na machokoraaa,Mtabakii mnasema Sisi ni mahater wakati show inaoneka na kwenye kioo cha Tv.Tukipigwa hii mechi sitoshangaa kabisa