Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Januari inapaswa tumchukue Tchouameni na pia tumrudishe Hazard
Sasa wewe hazard kwa sasa wanini? Ni team gani unayoiona haina matakataka,Bayern anafungwa na vi team vya ajabu ajabu tu unaona,mancity na wolves waneshinda kwa penalt tena ni baada ya mchezaji mmoja kupewa umeme

Kitu usichokijua zile team za ulaya ni tofauti na za bongo wale wanawataalamu waliobebea kwenye mpira tofauti na huku kwenu.Bahati haikuwa upande wetu ndio,on target 10,ball possession 80 kwa 20,bado unaiponda hyo team..hamu nenda unakoona hakuna mataka taka
 
Kwani lengo la kuwa uwanjani ni ball possession,short on target na short of target?

Huwa hatujari mchakato,Tuna angalia Final results.

Swala la bahati haikuwa yako,BAHATI HUENDA KWA WALIO JIANDA.

Swala la sijui tulifanyejee,injury,kocha lakini ndo ivyooo... NI KUTAFUTA VISINGIZIO NA VIJISABABU TU.

KUBALI TIMU NI MBOVU,NDO UWEZO WAO WA MWISHO ULIPO ISHIA,
 
Tuchel since Rangnick touched UK
IMG_9992.jpg
 
Mwambieni kocha abadili tactics na system Kutokana na timu anayo kutana nayo,Siku zinakujaa.Kuna wahuni watakuja kumgonga mchana buree kabisa Yani bila hata clean sheet.

Timuu ganii hiyo inayo tegemea kikosi Cha Kwanzaa tuu Ili kipate ushindii????ikitokea mabadiliko timu inapwayaa???? Hiyo siyo timu ni gengee la Wanywa pombee.
Shida sio tactics shida ni chance tunazoshindwa kuzitumia
Mnatengeza clear chance za kufunga wachezaj wanashindwa kuzitumia utalaumije tactics za kocha

Game zote tunazodraw tunatengeneza zaidi ya chance 3 za kufunga na bado hatuzitumii

Angalia game tuzizldraw, against burnley,everton hizi game zote tulitengeneza chance ila tukashindwa kuzitumia,
If mtu anakosa one vs one unategemea hapo ni tatizo la kocha au la mchezaji

Wachezaj wetu hawako ruthless
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom