Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Maskini Jana hamkupewa penalty mbili ....
Ndio wanacho kiweza kwa sasaKitimu cha mchongo na kelele nyingi.
Naungana na wewe hiyo timu NI genge la wanywa wanzukiMwambieni kocha abadili tactics na system Kutokana na timu anayo kutana nayo,Siku zinakujaa.Kuna wahuni watakuja kumgonga mchana buree kabisa Yani bila hata clean sheet.
Timuu ganii hiyo inayo tegemea kikosi Cha Kwanzaa tuu Ili kipate ushindii????ikitokea mabadiliko timu inapwayaa???? Hiyo siyo timu ni gengee la Wanywa pombee.
Acha kulia lia kiwango chenu kimefikia mwishoHii ishu ya kusema hatukuwa na bahati ni upuuzi tu. Niliwahi sema hapa tusijifiche kwenye mgongo wa majeraha, hii timu ina matakataka mengi mno. Hiv kweli mtu kama Saul ni wa kucheza Chelsea.!!?
Ok fine we want the final results na sio mambo ya kukosa magoli kwani advantage ya kukosa magoli ni ipi?Chelsea akikosa ubingwa sio kama hakupambana bali tu bahati haikuwa kwake.angalia mechi ya bunley alidraw lakin walikosa magoli mengi sana. Angalia eveeton ka draw ila angalia chances alizokosa mount na james .ingekuwa bado chelsea anaongoza ligi hadi sasa ila ndio mpira.akitokea mtu huko kibonde maji akianza kuiponda chelsea namshangaa sana atakuwa sio mtu wa mpira kabisa bali ni mtu wa somo la historia ya timu zilizochukua ubingwa mara nyingi akiwa yeye hajazaliwa.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Eti ass.anal naye anakuwa na jeuri ya kuja kwenye jukwaa la chelseaOk fine we want the final results na sio mambo ya kukosa magoli kwani advantage ya kukosa magoli ni ipi?