Na wengi humu wako hvyo,ukiangalia man city,bayern,liverpool,kuna muda wanabanwa na viteam vidogo mpka unashangaa,PSG ina ule utatu mtakatifu inakufa mbele ya kiteam kulichopewa na mhindi odds 15...Wanakuja kushangaa chelsea inayofundishwa na benitez kumdindia chelsea,wanadhani benitezi ni seleman matola..wanadhani labda moyes ni Ni cedric kaze,wao hawajui kuwa makocha hao wanatumia muda mwingi kuharibu mbinu za mpinzani
Team ingekuwa haichezi hapo sawa,ingekuwa haictreate chance sawa,ila wanasimangwa na washabiki pinzani na wao wanapaniki..kombe bado sana kusema tumelikosa