Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani unaongea useless mkuu, kwamba klopp ang'ang'anie mane n salah kwa sababu ya chelsea? Kwanza sisi wenyewe hatuna majigambo kama yenu ya kuwa tunakikosi kipana na hilo lipo wazi je' nyie wenyekikosi kipana?
Fuatilia Mzee kocha wako mpk anadiss michuano ya Africa na kusababisha kuchukiwa na Makocha km Yule wa Senegal....sio unakuja hapa na kutema shudu
 
Vilabu vinavyoshiriki Ligi Kuu England vimeingia hofu ya msimu huu kufutwa na sababu kubwa ikiwa ni kusambaa kwa kasi kwa virusi vya Omicron huku utoaji chanjo kwa wachezaji ukiwa unaenda taratibu.Usiku wa jana zilipatikana kesi 42 za virusi hivyo ikiwa ni rekodi kubwa kwa wiki.
 
[emoji39][emoji39][emoji39]
IMG-20211214-WA0012.jpg


Sent using motorola 78
 
[emoji599] EXCLUSIVE: Ben Chilwell has stepped up his recovery with light fitness work on grass. Chelsea are targeting a return in early to mid-January.

N'Golo Kante and Trevoh Chalobah returned to Chelsea training today.

[Nizaaar Kinsella - GOAL][emoji39][emoji39][emoji39][emoji91][emoji91][emoji91][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using motorola 78
 
Inachekesha [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]mashindano ya UEFA beki zetu zimeruhusu goal 4 tuu ila hawapo kwenye list yao hao waliowaweka ndo wanachekesha zaidi
20211214_200754.jpg
 
Naona munaendelea kuchambua tembele, maana nyinyi hamna kawaida ya kuchambua soccer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom