lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Jana niliangalia mechi zote kubwa
Chelsea tulicheza vizuri ila Alonzo ndio career yake kwa timu kubwa kama Chelsea ndio imeishia hapo
Rudiger jana katubeba sana kwa zile penalti alizitafuta kwa akili sana
Timu zote nne zilibebwa na penalti tena za kijanja janja
Norwich alicheza vizuri sana dhidi ya Manure
Wolve kama kawaida yao, kocha mpya na 3-5-2 nao ni poa kwao, wamekua wazuri sana
Aston Vila ya Steve Gerald nayo imebadilika sana, ni moto wa kuotea mbali, pamoja na uzuri wa Fools ilibidi wabebwena penalty ya Salah kujilaza
Chelsea nayo ilicheza vizuri, Alonso katuuza kama kawaida yake, viungo wetu bado hawajui kumaliza kesi pale katikati ndio maana beki zetu zinaonekana kuzidiwa