Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

TUKUTANE ROBO FAINALI
20211213_142643.jpg
 
Hahahhaha Robo fainali Ileee Japo siyo kilaini Kiivo ila Matumaini yapoo
 
Oyaa nasikia tumepewa Lille ..vip tunaeza mm'bomoa kweli? Kwa pale Ligue One anakimbiza au ndo Bora liende.

Sema Nini hii uefa tunaeza ipambania Tena tukaibeba mazee..

#CFC💙💙💙
 
Gari lishawaka - njia ya kutetea ubingwa hatua ya 16 bora ni nyeupe !! nyumbani anapigwa 2 -0, then kwao dro ya 2 - 2

Chelsea vs Lille
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom