Asante kiongoziKesho
Asante kiongoziKesho
Nenda kwenye thread yako huku umefuata Nini A.Madrid anafurahia uko kukupata wewe kibondeNaona munaendelea kuchambua tembele, maana nyinyi hamna kawaida ya kuchambua soccer.
Mmmh mkuu Labda unaangalia TV tofauti, chalobah kakichafua Sana mechi za hv karibuni mpk tukaona Kwa Hali hiyo Christensen Mbona ataishia kukaa benchi Kwa muda mrefu.....na kingine dogo pia anaweza akakichafua DM hata Ile siku aliyoumia Vs Watford aliingia kucheza mara baada ya Saul kutolewa ...ukiachana na kante na kovacic anayeweza kucheza vizuri pembeni ya jorghino km mkabaji n huyu DG chalobahHuyo chalobah wamuache tu apone vizuri hana impact yoyoyote, wasimrush.
HahahahaaNaona munaendelea kuchambua tembele, maana nyinyi hamna kawaida ya kuchambua soccer.
Na tunaenda kunyanyua CL
Mpaka mwezi wa pili timu yangu itakua ishakaa sawa,hivyo tegemea kuwaona Man utd fainali na Bayan Munich.Nenda kwenye thread yako huku umefuata Nini A.Madrid anafurahia uko kukupata wewe kibonde
Unasemaje?Tofauti kati ya Ole na Babu Ralf ni miwani tuu.
UCL ya Buza mtabeba.Na tunaenda kunyanyua CL
Sisi tunaenda kunyanyua CL ,keep watchingUCL ya Buza mtabeba.
Ila kama ni hii ya UEFA nenda kaendelee kuota.
Wewe huna hadhi ya kubeba lile kombeSisi tunaenda kunyanyua CL ,keep watching
Hahahah... kwamba ikifika mwezi wa pili magwaya atakuwa beki wa maana wa kuwazuia akina Lewandoski?Mpaka mwezi wa pili timu yangu itakua ishakaa sawa,hivyo tegemea kuwaona Man utd fainali na Bayan Munich.
Na kinaenda kujirudia kilicho tokea mwaka 1999, sijui ulizaliwa?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wengi hawaangalii mpira. Sisi tunaoangalia mpira tunajua umuhimu wake ndani ya pitch. Dogo ni mtu na nusu[emoji28][emoji28]Mmmh mkuu Labda unaangalia TV tofauti, chalobah kakichafua Sana mechi za hv karibuni mpk tukaona Kwa Hali hiyo Christensen Mbona ataishia kukaa benchi Kwa muda mrefu.....na kingine dogo pia anaweza akakichafua DM hata Ile siku aliyoumia Vs Watford aliingia kucheza mara baada ya Saul kutolewa ...ukiachana na kante na kovacic anayeweza kucheza vizuri pembeni ya jorghino km mkabaji n huyu DG chalobah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]Tofauti kati ya Ole na Babu Ralf ni miwani tuu.
Nimegoka kumwambia huko kwako bado hawana uwezo hata jengo la kuliifadhi lile kombe hawana[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe huna hadhi ya kubeba lile kombe
Huyu ni mafia mbaya sana
Labda hyo umetengeneza ww na mkeo chumbaniNa tunaenda kunyanyua CL