Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Salama wadau wangu wa nguvu? Haian haja ya kufanya uchambuzi wa nguvu juu ya game ya Jana!

Wataalam wanasema hivi! Km ukiwa una mafanikio makubwa ya aina yoyote ile iwe ya kiuchumi kielimu or whatever. Hauhitaji kutoa maelezo sanaaaa ya kwamba ilipata hayo mafanikio kwa namna gani! Kile unachopaswa kufanya ni kuacha hayo mafanikio yajieleze yenyewe..... Yaani unaacha watu wajieonee wenyewe na kutoa maelezo wenyewe....

Tukutane tarehe 28 kwa Liverpool tukamnyoge huko huko!

Ila wadau nawaacha na kibwagizo hichi.... Pesa tulio mnunulia Lukaku imeanza kuleta faida sanaaaaa! Tunahitaji Lukaku afunge magoli 50 msimu huu.... Kz kwao Matip, VVD na Gomez.... Mzigo huo wa Lukaku unakuja....
Nimetoka kukutag na we umeandika safi chief
 
Antonio Conte Mzee Mbona kimya Sana tumekumbuka zile analysis zako...
Kiongozi nipo nimejaa tele mkuu wangu! Ligi ndio imeanza sasa muda wote tutakuwa hapa wakuu!

Nilikuwa break kidogo maana si unajua ligi ikiisha inakua tabu kweli yaani sisi wapenzi wa mipira tunakua tunapata tabu sn.

Lkn saizi tuko pamoja
 
This ridiculously big difference in bench quality should explain things #ARSCHE #Arsenal
  • Ramsdale
  • Balogun
  • Tavares
  • Nelson
  • Chambers
  • Kolasinac
  • Elneny
  • Maitland-Niles
  • Aubameyang

  • Silva
  • Zouma
  • Kepa
  • Kanté
  • Ziyech
  • Hudson-Odoi
  • Werner
  • Chilwell
  • Chalobah
 
So far Chelsea kashafanya biashr nzur kuuza wachezaji , bad zuma nae yupo katika rada za West ham
Screenshot_20210823-151549_1.jpg
 
Kutokana na usajili wa Lukaku kwa sasa Chelsea inaweza kucheza mpira wa aina yoyote ile.

Yaani uwe wa counter attacks au lah! Na hawa madogo kina Meson Mount, Pulisic, Ziyench ata Timo Warner msimu huu watagunga sn magoli wakiwa wanacheza pembeni ya Lukaku....

Alafu combination ya Lukaku na Kai ni balaa zaidi yaani hii inafanya mabeki wa timu pinzani kutengeneza ma gaps mengi sn ambayo ma wings backs wetu wanapita km wanaimba vile!

Jana Reece James alikuwa anapita tu km anakwenda kwake!

Alonso ndio balaa! Maana Lukaku lazima akabwe na wachezaji wawili mchezaji mmoja hamuwezi yule jamaa maana yule jamaa ni mwili nyumba!

Kai na yeye ni hivo hivo lazima akabwe na wachezaji wawili!

Yaani Man City mteja wetu na Pep Guardiola msimu huu tena tunampiga km tumesimama vile!
 
Badiliko la Kante kuchukua nafasi ya Kova ni sawa kabisa ila hizo position nyingine zisalie kama mwanzo maana wachezaji washatengeneza partneahip nzuri
Mkuu hizo partnership ndiyo zinaleta shida. Siku zote kocha anaetumia Rotation ya wachezaji ndiyo anayepata matokeo. Remember last season baada ya tuchel kuchukua Chelsea amefanya Rotation Karibia mechi zote.

Faida ya Rotation ni kufanya wachezaji wasichoke pia ina leta hamasa baina ya wachezaji kila mmoja anapopata nafasi anaitumia vizuri na kuleta matokeo.

Pia Ujue Kuwa Chelsea ana kikosi kipana kila sehemu pako vizuri. Ushauri wangu next chilwell aanze upande wa Alonso. Zyrich akae saba na timo akae 11 lukaku abaki kati.
Rudga, christiansen, james na Azip waendelee. Sita akae jojinyo pembeni NG'OLO KANTE Jini kata umeme

Kingine Tunajua wote kuwa Alonso akicheza mechi tatu au 4 mfululizo inayofata lazima aboronge. So Rotation is very very important mawazo yangu
 
Aisee Nyie mlikuwa mnamtaka Nani sasa.....Lukaku hatujapigwa Mzee
Huyo Jamaa hajui hii COVID19 imepelekea klabu nyingi sana kung'ang'ania wachezaji wake ndiyomaana usajili umekuwa mgumu sana.

TT alitembelea ile kanuni ya "Bora kupata kitu kuliko kukosa kabisa" ndiyomaana ikabidi amsajili Lukaku ingawa kipaumbele chake cha kwanza kabisa ni Haaland.
 
Tunaanza kampeni Mara moja ya kutangaza ushindi dhidi ya liverkuku

Tuchel atumie ule mfumo ambao tulimlaga livakuku kipindi cha Mourihno.. Wao wacheze mpira halafu mbele anasimama Lukaku tu ..yule vvd inatakiwa atoe ulimi nje au ale majani.

Hapo kati tupia komandoo Kante, kamanda Kova na mtumishi Jogigho..

Nyuma weka kamati ya roho mbaya Rudger, Christiansen, Ben Chilwel na dogo Challobah kazi imekwisha..

Kama kawaida ukuta wa Berlin utasimama kwa jina la Mendy..

Hapo sub tunajua kutakuwa hapatoshi..

Kikitoka Chuma kinaingia Chuma..

Kuku tutachinja kwa kisu cha mbao tena tunaanzia mkiani.

Mpira dkk tisini hadi sasa tunaongoza moja.
Livakuku 0-2 hadi 3 Chelsea.

CFC
Yule Zumbukuku wa Man City hajaja kukuambia kuwa unaota Maana huwa ni kiherehere sana kwenye nyuzi za Wanaume
 
Mkuu hizo partnership ndiyo zinaleta shida. Siku zote kocha anaetumia Rotation ya wachezaji ndiyo anayepata matokeo. Remember last season baada ya tuchel kuchukua Chelsea amefanya Rotation Karibia mechi zote.

Faida ya Rotation ni kufanya wachezaji wasichoke pia ina leta hamasa baina ya wachezaji kila mmoja anapopata nafasi anaitumia vizuri na kuleta matokeo.

Pia Ujue Kuwa Chelsea ana kikosi kipana kila sehemu pako vizuri. Ushauri wangu next chilwell aanze upande wa Alonso. Zyrich akae saba na timo akae 11 lukaku abaki kati.
Rudga, christiansen, james na Azip waendelee. Sita akae jojinyo pembeni NG'OLO KANTE Jini kata umeme

Kingine Tunajua wote kuwa Alonso akicheza mechi tatu au 4 mfululizo inayofata lazima aboronge. So Rotation is very very important mawazo yangu
Safi sana, ila unamkosea heshima Ng'olo Kante kumuita jini ilihali anafanya vitu vizuri na vya kipekee sana, naomba utengue hiyo kaulj mara 1 umuhite jina lingine au hata malaika....
 
Safi sana, ila unamkosea heshima Ng'olo Kante kumuita jini ilihali anafanya vitu vizuri na vya kipekee sana, naomba utengue hiyo kaulj mara 1 umuhite jina lingine au hata malaika....

Sawa mkuu nimetengua kauli. Huyu jamaa ampenda sana wewe hujui tu....kati ya wachezaji ninaowapenda huyu namba moja NG’OLO KANTE.....Ukitaka kumfahamu waulize kina Ramos, Suarez, Modric, Klose, De Brune, wanamfahamu nje ndani na rangi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom