Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Taarifa kutoka Spain zinadai kuwa TT hamtaki tena Kounde na ameweka matumaini yake kwa Chalobah
Taarifa hizo zinadai hata hivyo uongozi wa Chelsea umeamua kuendelea na harakati za kumleta beki huyo kijana wa miaka 22 kutoka Sevilla kuja darajani
Sevila walikataa kiasi cha Euro 50 mwaka jana kutoka Man city na inasemekana hawako tayari kupokea kiasi pungufu na hicho kiwango ukizingatia kwamba kiwango cha mchezaji huyo kimeongezeka sana msimu uliopita

1629641233434.png
 
Kazikazi dakika 90,

Saka Martinel Rowe Pepe
. Xhaka Lokonga
 
Wajue mabalozi wetu kule kwingineko EPL

  1. Mancity - Kevin De Bruyne
  2. Man U - Nemanja Matic
  3. Liverpool - Mo Salah
  4. Lecester City -
  5. Westham - Declan Rise
  6. Everton -
  7. Spurs -
  8. Arsenal - Willian
  9. Crystal Palace - Conor Galagher
  10. Leeds United -
  11. Newcastle -
  12. Aston Villa - Betrand Traore
  13. Southampton - Valentino Livramentos
  14. Brighton - Tariq Lamptey
  15. Wolves -
  16. Burnley -
  17. Norwich city - Billy Gilmour
  18. Watford -
  19. Brentford -
Ongezea kama nimesahau
Huyo Livramento kawalaza man u na viatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom