Mkuu hizo partnership ndiyo zinaleta shida. Siku zote kocha anaetumia Rotation ya wachezaji ndiyo anayepata matokeo. Remember last season baada ya tuchel kuchukua Chelsea amefanya Rotation Karibia mechi zote.
Faida ya Rotation ni kufanya wachezaji wasichoke pia ina leta hamasa baina ya wachezaji kila mmoja anapopata nafasi anaitumia vizuri na kuleta matokeo.
Pia Ujue Kuwa Chelsea ana kikosi kipana kila sehemu pako vizuri. Ushauri wangu next chilwell aanze upande wa Alonso. Zyrich akae saba na timo akae 11 lukaku abaki kati.
Rudga, christiansen, james na Azip waendelee. Sita akae jojinyo pembeni NG'OLO KANTE Jini kata umeme

Kingine Tunajua wote kuwa Alonso akicheza mechi tatu au 4 mfululizo inayofata lazima aboronge. So Rotation is very very important mawazo yangu