Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Et mnakikosi kupana ,soon mnaenda kupanuliwa ..! Kwa maana hakuna namna nyingine
Acha kuwa pimbi mzeeeDefender bora zaidi kwa sasa hapa PlanetView attachment 1906322
Tayari katikati kuna msongamano akija atakuwa benchi tuKumbe jamaa anakuja kwa mkopo, kwanini Athletico wanamwachia kwa mkopo? Kiwango kimeshuka? Hapati namba?
View attachment 1906415
Tetesi na naomba iendelee kuwa tetesiSasa kama ni takataka bodi wanakomaa naye wa nini sasa?
Sijasema takataka, ila tukimchukua kuna hatari ya kuwa benchi dhidi ya Jorginho na KanteSasa kama ni takataka bodi wanakomaa naye wa nini sasa?
Chief huyo Mbona anapata # na game 2. Zilizopita za ligi kacheza huku moja akitoa assist....shida inaonekana hapendezwi na majukumu anayopewa na Diego Simone...inaonekana anachezeshwa sehemu sio maybe maana hata game iliyopita alicheza winger...na km mnavyomjua mifumo ya Diego kuna game moja mpk partey alichezeshwa no.2! ...all in all mi naona ni addition nzuri coz nafasi zake kihalisi ni DM na CM so mtu Kariba kama yake mwenye experience ya kutosha atatusaidia endapo tukimkosa kante ambaye amekuwa km injury prone...au jorgi/ Kova kama tukiwakosa Kwa majeruhi au Kadi nyingi z njano...na NI nzuri Kwa rotation ....nionavyoKumbe jamaa anakuja kwa mkopo, kwanini Athletico wanamwachia kwa mkopo? Kiwango kimeshuka? Hapati namba?
View attachment 1906415
Ana sources za uhakika za kupata habari, ndio jibu rahisiHivi Fabrizio Romano ni nani hasa? mbona huwa ana data za uhakika hivyo?
Na Mimi nasubiria majibu mkuuSwali langu kwenye mahesabu zipo data kwamba Abromovich alipata mgawo wa shilingi ngapi kutoka kwenye faida iliyovunwa msimu 20/21?
Je pesa za usajili anazotoa Abromovich zinatoka kwenye faida ya kipesa anayovuna kutoka klabuni au huwa zinatoka kwenye mfuko wake? View attachment 1906519