Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tammy Abraham tayari ana assist kule Roma kwa Mou na mechi ndio dk ya 38
Two assists on his Roma debut for Tammy Abraham

Chelsea tumetumia akili sana kuweka option ya kumrudisha kundini
IMG_20210823_082748_637.jpg
 
Timu itakayokuwa na consistency angalau ya mechi 5 mfululizo ndio itakayokaa kwenye position nzuri ya kutwa ubingwa
Timu itakayoboronga game moja kila baada ya mechi 10 ndio itakayokaa kwenye position nzuri ya kutwa ubingwa
 
Chelsea Vs Liverkuku

Rudger vs Salah (RIP)

Chilwell vs Alexander

James vs Mane (Patachimbika)

Christensen vs Firmino (RIP)

Joginho + Kante vs All Midfielders (RIP)

Lukaku vs Van Vidk (Atavunjwa mguu na Lukaku)
VP Hapo Kwa James akae km rcb km jinsi tuchel alivyomtumia kwenye games za Leicester na man city uefa Afu azpi acheze wingback?.....
 
VP Hapo Kwa James akae km rcb km jinsi tuchel alivyomtumia kwenye games za Leicester na man city uefa Afu azpi acheze wingback?.....
Nafasi ya wingback inamfaaa sana James anajua kushambulia na kukaba tofauti na Azp yeye ni too defensive kushambulia sio kivile
 
Mechi na Liverpool tutahitaji hii line up

Werner ----------Lukaku --------------Ziyech

Chillwell --------- Jorginho ---------Kante ---------Azpilicueta

Rudiger ------------- Silva ------------ Chalobah

Mendy

Sub
1) Kepa
2) Christensen
3) Zouma
4) James
5) Alonso
6) Kovacic
7) Odoi
8) Havertz
9) Mount
Alonso kacheza vizuri sana leo ila kubadili uchezaji ni muhimu kimbinu ili Liver wasije wametukariri
Nafasi zenye ushindani ni lazima rotation iwepo ili pia iwe motisha kwa wachezaji
Badiliko la Kante kuchukua nafasi ya Kova ni sawa kabisa ila hizo position nyingine zisalie kama mwanzo maana wachezaji washatengeneza partneahip nzuri
 
Bado anajikanyaga sana, Lukaku still bado tumepigwa
Mwamba si ulikuwa unamponda Lukaku kisa eti ana mwili mkubwa umeona faida ya mwili wake? me nilikuambia Lukaku mtu na kwa jinsi Chelsea inavyotengeneza nafasi nyingi jamaa atafunga sana
 
Mwamba si ulikuwa unamponda Lukaku kisa eti ana mwili mkubwa umeona faida ya mwili wake? me nilikuambia Lukaku mtu na kwa jinsi Chelsea inavyotengeneza nafasi nyingi jamaa atafunga sana
Mapema sana kuongea hilo, Arsenal ina mabek nyanya sana ndio mana alikua anawaonea, imagine beki anaitwa marry, wakati wenzio wana kina Rudger, Magure, VVD. Arsenal wasipojiangalia watashuka daraja ........ bado hajakutana na beki zenye roho mbaya.
 
Magure nae beki yule hamna kitu

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Tunaanza kampeni Mara moja ya kutangaza ushindi dhidi ya liverkuku

Tuchel atumie ule mfumo ambao tulimlaga livakuku kipindi cha Mourihno.. Wao wacheze mpira halafu mbele anasimama Lukaku tu ..yule vvd inatakiwa atoe ulimi nje au ale majani.

Hapo kati tupia komandoo Kante, kamanda Kova na mtumishi Jogigho..

Nyuma weka kamati ya roho mbaya Rudger, Christiansen, Ben Chilwel na dogo Challobah kazi imekwisha..

Kama kawaida ukuta wa Berlin utasimama kwa jina la Mendy..

Hapo sub tunajua kutakuwa hapatoshi..

Kikitoka Chuma kinaingia Chuma..

Kuku tutachinja kwa kisu cha mbao tena tunaanzia mkiani.

Mpira dkk tisini hadi sasa tunaongoza moja.
Livakuku 0-2 hadi 3 Chelsea.

CFC
 
Mapema sana kuongea hilo, Arsenal ina mabek nyanya sana ndio mana alikua anawaonea, imagine beki anaitwa marry, wakati wenzio wana kina Rudger, Magure, VVD. Arsenal wasipojiangalia watashuka daraja ........ bado hajakutana na beki zenye roho mbaya.
Wiki ijayo tuna liver tutamuona
 
Salama wadau wangu wa nguvu? Haian haja ya kufanya uchambuzi wa nguvu juu ya game ya Jana!

Wataalam wanasema hivi! Km ukiwa una mafanikio makubwa ya aina yoyote ile iwe ya kiuchumi kielimu or whatever. Hauhitaji kutoa maelezo sanaaaa ya kwamba ulipata hayo mafanikio kwa namna gani! Kile unachopaswa kufanya ni kuacha hayo mafanikio yajieleze yenyewe..... Yaani unaacha watu wajieonee wenyewe na kutoa maelezo wenyewe....

Tukutane tarehe 28 kwa Liverpool tukamnyoge huko huko!

Ila wadau nawaacha na kibwagizo hichi.... Pesa tulio mnunulia Lukaku imeanza kuleta faida sanaaaaa! Tunahitaji Lukaku afunge magoli 50 msimu huu.... Kz kwao Matip, VVD na Gomez.... Mzigo huo wa Lukaku unakuja....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom