Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi na Liverpool tutahitaji hii line up

Werner ----------Lukaku --------------Ziyech

Chillwell --------- Jorginho ---------Kante ---------Azpilicueta

Rudiger ------------- Silva ------------ Chalobah

Mendy

Sub
1) Kepa
2) Christensen
3) Zouma
4) James
5) Alonso
6) Kovacic
7) Odoi
8) Havertz
9) Mount
Alonso kacheza vizuri sana leo ila kubadili uchezaji ni muhimu kimbinu ili Liver wasije wametukariri
Nafasi zenye ushindani ni lazima rotation iwepo ili pia iwe motisha kwa wachezaji

Kabisa mkuu. Na tukifanya rotations ya wachezaji itakuwa poa sana. Pia itawapa wachezaji motisha wa kuwa na uhakika wa kucheza vizuri.

Mechi iliyopita James hakucheza umeona leo alivyokiwasha?

Next gem alonso apumzike aingie Chilwell au vipi mbele iwepo kama ulivyoandika hapo
 
Ikifanyika hiyo rotation tutakuwa fire sana
 
1629662853287.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom