Bado upo hapa au ndio unaukimbua uzi?Nyie wapuuzi leo nashinda hapa kukimbia Uzi sio suluhisho
Bao 3, Saka lake moja
Bukayo Sakaaaaaaaa 😉Leo mnapigwa nyie the blauzi ...Here comes Bukayo sakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ngoja tukukule na wewe next week mkuuVinapiga bomu mochwari vinajisifu vimeua
Naona Drogba katika uchezaji wa Lukaku. Ku hold mpira, kulazimisha na Ku shoot. Kama akienda hivi tutaanza kuona Akina Werner wakifunga magoli pia.Hizi nafasi zilikuwa zinapoteaga bure, Angekuwa Werner hapo angeokoa
Angekuwa Giroud na Abrahama wangekaa nyuma ya mabeki kusubiri loose ball
Safi sana Lukaku
Kama hiyo misemo inakufariji basi kua mbunifu zaidi ili upate nafuu,Vinapiga bomu mochwari vinajisifu vimeua
NI wivu tuVinapiga bomu mochwari vinajisifu vimeua
LiverpungaWho's next??
Liverpool!Who's next??
Mechi itakayofuata atasema pia hiviMikel Arteta: "Chelsea were too good for us today. They have world class players and world class organisation. That's why they are the European Champions."
Huyu liver ni arse8 iliyochangamka.Liverpool!
Huyu tutamla kimasihara kabisa hana pa kutokeaLiverpunga
Tuchukue vyote yaani tupige vikombe 3 kwa msimu mmoja vile vikubwa EPL&FA +UEFA=3Chelsea tuchukue ligi msimu huu au uefa tena?
Ni mapema mno kufikiria vikombe. Safari bado ni ndefu sana.Tuchukue vyote yaani tupige vikombe 3 kwa msimu mmoja vile vikubwa EPL&FA +UEFA=3