Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika game hii ngoro kante asimkabe martinel yatajirudia ile aibu

Namkubal sana kante mkata umeme, ila msimuachie huyo dogo wa kibrazil
 
Hii ni derby wanaweza kutufunga.

Derby sio za kujiamini kimatokeo, timu mbovu inapania mechi, inabadilika Kiuchezaji kabisa.

Naamini leo itakuwa mechi ngumu pande zote.
Ila leo hawana pa kutokea, kwa hilo mimi sina shaka
Chelsea wana kila sababu ya kuwatandika
  1. Kutokea kwenye kubeba vikombe ni motivation kubwa
  2. Kuwepo Lukaku na Werner kule mbele na hiyo defense yao isiyotulia hata Mabeki leo watafunga magoli
 
Rice 'unhappy' with £100m price tag

According to a report from The Telegraph, Declan Rice is 'unhappy' with West Ham United placing a £100million price tag on his head.

Rice has been heavily linked with a move to Chelsea over the past couple of seasons and the report claims he has no plans on signing a new contract in east London.

TT ni mpenzi mkubwa wa Declan Rice lakini kwa sababu ya bei kubwa imeshindikana kumsajili Rice tangu enzi za Frank Lampard
1629625934328.png
 
Chelsea management is keen on keeping Ampadu, who can offer cover in midfield and in defence, around the first-team set-up.
1629626189117.png
 
TT kadai huko mbeleni atamtumia Trevo Chalobah kwenye Kiungo ambayo tayari ina Kante, Jorginho na Kovacic
Na inavyoelekea ni maandalizi ya kumleta Jules Kounde kutoka Sevilla
 
Mimi siku zote nasema Chelsea akikutana na arsenal anakuwaga kilaza ...

Hapa arsenal anaenda kujitafunia mboga kiulain hakuna vya kante ,wala TT ,wote wanaenda kubemendwa .
 
Mimi siku zote nasema Chelsea akikutana na arsenal anakuwaga kilaza ...

Hapa arsenal anaenda kujitafunia mboga kiulain hakuna vya kante ,wala TT ,wote wanaenda kubemendwa .
Mbona unawashwa na team za watu.? Chomoa bc
 
Mimi siku zote nasema Chelsea akikutana na arsenal anakuwaga kilaza ...

Hapa arsenal anaenda kujitafunia mboga kiulain hakuna vya kante ,wala TT ,wote wanaenda kubemendwa .
Ni kweli arsenal tupo kipindi kigumu cha kujenga timu

Lakin sio kwa wadogo zetu wa London iliyoanza 2003
Hawa ni fimbo tu mkuu, hili lipo wazi

Chelsea wapo vizuri kwa sasa ila sio kwa arsenal
 
Nyie wapuuzi leo nashinda hapa kukimbia Uzi sio suluhisho

Bao 3, Saka lake moja
 
Leo mnapigwa nyie the blauzi ...Here comes Bukayo sakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wajue mabalozi wetu kule kwingineko EPL

  1. Mancity - Kevin De Bruyne
  2. Man U - Nemanja Matic
  3. Liverpool - Mo Salah
  4. Lecester City -
  5. Westham - Declan Rise
  6. Everton -
  7. Spurs -
  8. Arsenal - Willian
  9. Crystal Palace - Conor Galagher
  10. Leeds United -
  11. Newcastle -
  12. Aston Villa - Betrand Traore
  13. Southampton - Valentino Livramentos
  14. Brighton - Tariq Lamptey
  15. Wolves -
  16. Burnley -
  17. Norwich city - Billy Gilmour
  18. Watford -
  19. Brentford -
Ongezea kama nimesahau
 
Tusubiri tuje tumchukue bure

Rice 'unhappy' with £100m price tag

According to a report from The Telegraph, Declan Rice is 'unhappy' with West Ham United placing a £100million price tag on his head.

Rice has been heavily linked with a move to Chelsea over the past couple of seasons and the report claims he has no plans on signing a new contract in east London.

TT ni mpenzi mkubwa wa Declan Rice lakini kwa sababu ya bei kubwa imeshindikana kumsajili Rice tangu enzi za Frank Lampard
View attachment 1902943
 
Wajue mabalozi wetu kule kwingineko EPL

  1. Mancity - Kevin De Bruyne
  2. Man U - Nemanja Matic
  3. Liverpool - Mo Salah
  4. Lecester City -
  5. Westham - Declan Rise
  6. Everton -
  7. Spurs -
  8. Arsenal - Willian
  9. Crystal Palace - Conor Galagher
  10. Leeds United -
  11. Newcastle -
  12. Aston Villa - Betrand Traore
  13. Southampton - Valentino Livramentos
  14. Brighton - Tariq Lamptey
  15. Wolves -
  16. Burnley -
  17. Norwich city - Billy Gilmour
  18. Watford -
  19. Brentford -
Ongezea kama nimesahau
Leicester yupo Ryan Bertrand....ameuzwa toka Southampton
 
Wajue mabalozi wetu kule kwingineko EPL

  1. Mancity - Kevin De Bruyne
  2. Man U - Nemanja Matic
  3. Liverpool - Mo Salah
  4. Lecester City -
  5. Westham - Declan Rise
  6. Everton -
  7. Spurs -
  8. Arsenal - Willian
  9. Crystal Palace - Conor Galagher
  10. Leeds United -
  11. Newcastle -
  12. Aston Villa - Betrand Traore
  13. Southampton - Valentino Livramentos
  14. Brighton - Tariq Lamptey
  15. Wolves -
  16. Burnley -
  17. Norwich city - Billy Gilmour
  18. Watford -
  19. Brentford -
Ongezea kama nimesahau
Broja- Southampton
 
Leicester yupo Ryan Bertrand....ameuzwa toka Southampton
Uko sawa, alitoka Chelsea 2015

Wajue mabalozi wetu kule kwingineko EPL
  1. Manchester City FC - Kevin De Bruyne
  2. Manchester United - Nemanja Matic na Juan Matta
  3. Liverpool FC - Mo Salah
  4. Leicester City FC - Ryan Bertrand
  5. West Ham United - Declan Rise
  6. Everton FC-
  7. Tottenham Hotspurs FC -
  8. Arsenal FC - Willian
  9. Crystal Palace FC- Conor Galagher
  10. Leeds United -
  11. Newcastle United-
  12. Aston Villa FC - Betrand Traore
  13. Southampton FC - Valentino Livramentos na Armando Broja
  14. Brighton FC - Tariq Lamptey
  15. Wolves FC -
  16. Burnley FC -
  17. Norwich City FC - Billy Gilmour
  18. Watford FC -
  19. Brentford FC -
Ongezea kama nimesahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom