Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inabidi game 10 za mwanzo zote tushinde, mpaka wachezaji wanaenda kwenye international break tuwe tunaongoza ligi. Hakuna kucheka na kima ni kipigo tu mpaka akili ziwakae sawa ili wajue tuko serious.

Nimefurahi sana kuona wachezaji wetu wako serious na wanataka ubingwa wa ligi kuu. Vile tulicheza jana ndio bigwa anapaswa acheze vile hakuna kucheka na kima ni mwendo wa kuwapelekea moto tu. Yaani mpka maji waite mma, hakuna kuwapa nafasi ata ya kupiga shuti.

Sasa nimeanza kumuelewa TT alipo sema ataunda timu ambayo hakuna klabu itatamani kukutana nayo.

Na kwa jinsi tulivyo cheza jana walahi Lukaku atakuwa top goal score mpaka msimu unaisha. Japo tulipigwa
Musisahau game ijayo muko na baasha wenu wa kila siku. (Mshika manati)
 
City wameishiwa na mbinu kabisa, akina Sterling wakikosaga mbinu kazi ni kujirusha rusha tu
Wanakaa na mpira kama walicheza na Chelsea na hakuna wanachoifanyia huo mpira
Kusema City ni Title contender ni kosa la jinai, hakuna timu hapo
Mwaka jana walitumia fursa kwamba timu za top 4 hazikuwa fit kushindana tofauti na mwaka huu
 
Mpeni salamu huyo Pain Killer
Spurs nao wamebahatisha
Msimu huu timu nyingi zitabahatisha kumfunga City mpaka atoke top 4
Man U wana point 6 hapo
Liverpool wana zao 6 hapo
Chelsea wana zao 6 hapo
Halafu bado unsema kuna timu hapo
 
City wameishiwa na mbinu kabisa, akina Sterling wakikosaga mbinu kazi ni kujirusha rusha tu
Wanakaa na mpira kama walicheza na Chelsea na hakuna wanachoifanyia huo mpira
Kusema City ni Title contender ni kosa la jinai, hakuna timu hapo
Mwaka jana walitumia fursa kwamba timu za top 4 hazikuwa fit kushindana tofauti na mwaka huu
Ni mapema sana kusema hivyo, refer msim uliopita,
City stil ni title contender
 
Ni mapema sana kusema hivyo, refer msim uliopita,
City stil ni title contender
Msimu uliopita walianza kwa kushinda mechi 2 ya tatu wakadraw na Leeds United
Kwa mechi zote walishinda mechi 4 mfululizo
Walikuja kufungwa mechi ya nane na hao hao spurs 2-0 hapo hapo kwenye huo huo uwanja
Mwaka huu inawezekana wakawa title conender ila wanayo kazi kubwa, wako legelegge city ukicompare na Liverpool, Chelsea na Manure
Wewe utakuwa umeconfuse na viporo aliviweka vingi na hizo viporo ndizo zilizomfanya awe nyuma ya table kwa muda mrefu
Mwaka huu kumbuka kashafungwa mechi mbili mfululizo sasa, kwanza na Leicester City na sasa Spurs kesho na keshokutwa, sioni dira kwa Mancity msimu huu
 
Historia ya Chalobah itakuwa kubwa na very fantastic sana
Kaanza na kikombe cha UEFA Supper Cup kisha kwenye derby yake ya EPL anafunga goli zuri sana

Yetu macho na masikio
 
Chelsea uwanja kujenga ni ngumu kutokana na haki miliki ya uwanja inamilikiwa na organization Chelsea pitch owners (plc )ambao wao wana right ya Jin la Chelsea pamoja na uwanja
So io organization inaruhusu uwanja kuboleshwa na kutanuliwa Kwa uwanja na sio kujenga uwanja mpya na sababu moja wapo ni kuilinda clabu kuamishiwa eneo lingine

Hawa jamaa walisaidia clabu ilivokuwa katika Hali ya ukata ili isiuzwe so wakanunua right za jina pamoja na uwanja

NB:uwanja unamilikiwa kwa hisa so shabiki yeyote anaruhusiwa kununua hisa na kuwa sehemu ya mmiliki
 
Kujenga uwanja wala sio ngumu, plan ya kujenga ilikuwepo na makubaliano yalishafanyika, kilichozuia ni mlipuko wa Corona na uchumi ukayumba na suala hilo likaahirishwa kwa muda
Pia mchakato wa kununua sehemu ya hisa zilizoko kwa Chelsea Pitch Owner uko mbioni japo imechukua muda mrefu kwa sababu baadhi ya wenye hisa wamekataa kuuza hisa zao
Plan iliyokuwepo tangu 2011 ni kuhama pale lakini ingeilazimu timu ibadili jina kwa hiyo option iliyochukuliwa ni kununua hisa zilizoko kwa shareholder
Sio kwamba Chelsea kama kalbu haimiliki kiwanja. Inamiliki lakini ikishirikiana na wana hisa wengine na hivyo Chelsea kama klabu haina mamlaka ya kufanya maamuzi wenyewe
Hali ya uchumi ikitengemaa naamini aidha uwanja utajengwa chini ya makubaliano maalum au Chelsea watawashawishi hao wenye hisa wauze hisa zao umiliki wa kiwanja ubaki kwa klabu kwa asilimia 100
 
Msimu uliopita walianza kwa kushinda mechi 2 ya tatu wakadraw na Leeds United
Kwa mechi zote walishinda mechi 4 mfululizo
Walikuja kufungwa mechi ya nane na hao hao spurs 2-0 hapo hapo kwenye huo huo uwanja
Mwaka huu inawezekana wakawa title conender ila wanayo kazi kubwa, wako legelegge city ukicompare na Liverpool, Chelsea na Manure
Wewe utakuwa umeconfuse na viporo aliviweka vingi na hizo viporo ndizo zilizomfanya awe nyuma ya table kwa muda mrefu
Mwaka huu kumbuka kashafungwa mechi mbili mfululizo sasa, kwanza na Leicester City na sasa Spurs kesho na keshokutwa, sioni dira kwa Mancity msimu huu
This is our city ...

Tulishapigwa goli 5 na lecister city media zote UK zikasema city sio title contender ,sembuse game moja ?...

Any way keep watching ,EPL is long journey
 
Viwanja vya mpira England na uwezo wao, The Bridge ni ya 11 kwa uwezo

#1
Wembley Stadium

Capacity = 90,000

Football Club: None

#2
Old Trafford

Capacity = 75,000

Football Club: Manchester United – Red Devils

#3
Tottenham Hotspur Stadium

Capacity = 62,000

Football Club: Tottenham Hotspur FC or Spurs

#4
Emirates Stadium

Capacity = 60,000

Football Club: Arsenal FC – The Gunners

#5
London Stadium

Capacity = 60,000

Football Club: Westham United – The Hammers

#6
City of Manchester Stadium Commercially Known as Etihad Stadium

Capacity = 55,000

Football Club: Manchester City FC - The Citizens

#7
Anfield

Capacity = 54,000

Football Club: Liverpool FC - The Reds

#8
St James' Park

Capacity = 52,000

Football Club: New Castle United - The Magpies

#9
Stadium of Light

Capacity = 49,000

Football Club: Sunderland FC - The Black Cats

#10
Villa Park

Capacity = 42,000

Football Club: Aston Villa FC - The Lions

#11
Stamford Bridge

Capacity = 41,000

Football Club: Chelsea FC – The Blues
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom