Nyie wapuuzi leo nashinda hapa kukimbia Uzi sio suluhisho
Bao 3, Saka lake moja
Leo mnaliwa kimasihara magetoni
Ni swala la muda tu
Dah nikajua zitakuwa hata tano..Arsenal 0
Chelsea 2
Dakika ya 72
Kashaingia, sikuwa naona kazi ya Kovacic, ule moto wake haukuwepoo kabisaKante anahitajika hapo kumsaidia Joginho kukaba, ili Joginho apate nafasi ya kutuliza game
Mkuu habari yako?Leo mnaliwa kimasihara magetoni
Ni swala la muda tu