Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea yaweka kibindoni kikombe cha mbuzi, ITASAIDIA sana
Mind Series trophy

1628449273304.png
 
Kwenye Press Conference Messi adai alisikitishwa sana na kufungwa na Chelsea kwenye nusu finali za mwaka 2012 za UCL akiwa chini ya PEP Guardiola
 
Mpaka sasa wachezaji ambao wamenunuliwa na klabu ya Chelsea tangu mkongwe Peter Cech awe mkufunzi wa ufundi ni:
Edouard Mendy
Kai Hervatz
Hakim Ziyech
Timo Werner
Thiago Sliva
Ben Chilwell na
Romelu Lukaku..

Unaionaje kazi yake
Hapo kwa mendy inabidi mzee Cech tumjengee sanamu maana sidhani kama kepa angetupa ubingwa wa UEFA
 
Michezo ya kirafiki ya Villareal kuelekea mechi ya UEFA Super Cup;

Valencia 3-2 Villareal
Villareal 2-2 Lyon
Villareal 0-0 Leavante
Marseille 2-1 Villareal
Leicester 2-2 Villareal
Hata man u aliingia na matokea yake hivo hivo

Kila mtu aliona kilichotokea ...
 
Michezo ya kirafiki ya Villareal kuelekea mechi ya UEFA Super Cup;

Valencia 3-2 Villareal
Villareal 2-2 Lyon
Villareal 0-0 Leavante
Marseille 2-1 Villareal
Leicester 2-2 Villareal
Ingiza pua yako uone mziki wao.
 
Kwann Broja mna taka kumtoa kwa mkopo? Ina maana Abraham mtabaki nae tena?
 
Chelsea wako kwenye mazungumzo mazuri katika kuwania saini ya Messi. Msione kimya kuna vitu vinapikwa
 
Kesho Chelsea watafanya mazoezi mepesi kisha baada ya hapo wataelekea Northern Ireland kwaajili ya mchezo wa Super Cup.
 
Wajitokeza kupinga PSG isimsajili Messi kwa kudai kuwa Financial Fair Play ya PSG ni mbaya kuliko hata ya Barcelona
KARIBU Messi Chelsea

Lionel Messi's future might not be as clear as it seems to be. A complaint has been filed with the European Commission in an attempt to prevent Paris Saint-Germain from signing the Argentine.

The complaint, which MARCA have gained exclusive access to, is based on financial facts, and claims that Financial Fair Play should rule PSG out of the running for Messi's signature.

"PSG's ratio with regards to Financial Fair Play is worse than Barcelona's," the statement sent to the Court of Appeals by Dr. Juan Branco on behalf of Barcelona's members.

"In 2019/20, 99 percent of PSG's income was used for salaries, whereas it was 54 percent for Barcelona."

Those behind the complaint, which has been sent and is now pending, hope to block Messi's move to PSG, claiming that competition has been distorted by the French club's spending.

It states that Joan Laporta's reason for not being able to renew Messi's contract was that, even with the player taking a 50 salary reduction, Barcelona's salary would have been 110 percent of the cap imposed by the European body and by LaLiga.

 
Messi hajaenda popote yuko nyumbani kwake na familia yake.
 
I will not be surprised.
You guys shares football methodologies with Man City and PSG.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom