Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimaongezi hajasaini lolote linaweza kutokea kumbuka ya gin wa liverpool na barca waliafikiana kila kitu ila muda wa mwisho ngoma ikapinduka hivyo lolote linaweza kutokea ndio maana messi na watu wake wamesema wiki ijayo bado wanasikilizia timu zingine ili waamue sawa.
Hata huko Barca kwenyewe, walishakubaliana kila kitu, ilipofika kwenye malipo, Messi anatakwia akubali punguzo la 50% ili iendane na Fair play law ya Laliga amabapo mishahara ya waajiriwa wa timu iendane na mapato. Kwa sababu ya Corona, Mapato ya Barca yameshuka na kuacha kwa umbali mzigo wa mishahara.
PSG nao wanapitia the same path. Wanategemea kuuza tena wachezaji wa bei kubwa ili wapate pesa za kubalance mahesabu yao ndipo Mesi asajiliwe. Utamuuzia nani mcheza wa bei ghali sasa hivi
Hata Chelsea wakitaka kumsajili Mesi ili mahesabu yabalance ni lazima waachane na ununuzi wa Lukaku na hata ule wa Kounde
 
Sema chelsea angalau maana hawana wachezaji wanaolipwa hela kubwa saana. Pale psg kuna watu wanalipwa haswa hivyo acha tuone itakavyo kuwa kwa chelsea inawezekana akaenda acha tuone
 
Uchezaji wa lukaku sioni ukifit Chelsea ...

Mnaenda kupigwa kweupe

Lukaku mnapigwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The Athletic wanasema deal done, Lukaku sasa anasubiri kutangazwa mchezaji wa Chelsea tu
 
The Athletic wanasema deal done, Lukaku sasa anasubiri kutangazwa mchezaji wa Chelsea tu
Useng huu sasa.
 
Mzigo huo unatuliwa darajani, sasa tushindwe tu wenyewe
Marina kaamua kutuletea kilo 90 darajani

1628350020327.png
 
Lukaku akija darajani atahesabiwa kama mcheza wa ndani (Home grown) kwa sababu alitumikia Chelsea misimu mitatu kabla ya kutimiza miaka 21
 
advanatge kubwa atakayoleta Lukaku Chelsea ni ule uwezo wake wa kuulinda mpira kwa kutumia mwili wake wenye nguvu na kasi yake ambayo itamfanya afunge magoli mengi ya counter
Natamani nione jinsi atakavyoendana na akina Werner, Mount, Havertz na Pulisic na hata Ziyech
 
Copy n paste.
If Romano Fabrizio tells me my wife is pregnant, I’ll believe him without doing pregnancy test

Kwamba huyu jamaa mambo yake kweli kwa 99%
Liverpool kwa hali inayoendelea kwenye club yetu naogopa sana. Tutashinsana vp na city united na nyie.
Kesho messi ataongea na waandishi wa habari na anaenda kufanya maamuzi magumu. Msishangae akija anfild.
Mmejiandaa vizuri msimu huu mnaweza mkapa top 4.
 
Mtu alifeli man u wkt kila msimu anafunga goli zaidi ya 10 ..sasa sijui unamaanisha alifeli Kwa kigezo kipi Labda unieleweshe[emoji23]....hakufit Kwa style ya nyumbu Ila sahv kaimprove Sana wazee duh!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Aseeh hata mimi nimemshangaa jamaa anavyosema lukaku amefeli man u wakati man U yenyew kwa misimu ya hivi karibuni imekua tiamajitiamaji
 
Aseeh hata mimi nimemshangaa jamaa anavyosema lukaku amefeli man u wakati man U yenyew kwa misimu ya hivi karibuni imekua tiamajitiamaji
Hao ndio mashabiki waliokaririshwa alafu wanajifanya wajuaji kuna mwingine kanichekesha ile mbaya anasema Lukaku yupo slow unaanza kumtafakari huyu mtu soccer analolifatilia ni lipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom