Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Torressssssss......
Ila uyu jamaa **** pale kakosaje la pili??!
 
Bwana Viper mtotowamjini MwafrikaHalisi mu wapi mtupe hongera zetu bana..
Mlidraw na man city mkadhan ndo sisi...yule ndo Juan Mata bana...ala!
Na pale mna bahat hatuna striker ila hatuliilii kama nyie we make use of other players sa nyie oh giroud oh podolski oh hatuna striker kwan wakati wa usajili mlikua mmelala??!
Jehehe leo nna furaha mie wachumba tu nyie hamtuez bana..
Nakumbuka maneno ya Wenger nataman akajisikilize tena...hahahaha....
Viva CHELSEA...
Pole Sympathisers!!!!
 
Last edited by a moderator:
halafu....kaka..................ww mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa toresssssssssssssss......chelsea Oyeeeee...
 
Hongereni kwa kuondoa bikra,wale jirani zenu kelele zilizidi
Hahahah kaka Belo ni wabishi hao hasa kale kamkoa kapya kale.. Katavi.
Ndo matatizo ya kuwa bikra mpaka unafikisha 30 yrs...
 
Last edited by a moderator:
Champions of Europe, we know
what we are,' was the only song
that rang around the Emirates as
the final whistle blew.
 
article-2210370-154332B3000005DC-706_634x375.jpg


Timu ya racist players na fans phew!
Mmeponea mpunga leo, sasa tuone kama mta-last the course.

khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hakuna cha kusema huku, toka ligi imeanza mnacheza na vibonde..tutakua hapa jumapili wakati mnatolewa jasho na arsenal :biggrin1:

mkuu mlikutana na vibonde mkawaokota! wait for a real competition



hahahahaahhahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
breath
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Umeshindwa dimbani sasa unatafuta viroja! Loser!


Ice chock .. .... khe khe khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeee kwa mpunga lazima mshinde bila hivyo ni bure Tor the res hawezi kufunga hadi afanye faulo khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Najua bado moyo unakuuma baada ya kuona uwanja wa kisasa umefurika si unakumbuka last time tuliwakung'uta kwa magoli matano, bado unasafari ndefu kwa mpira mnaocheza hususan mkiacha kumwaga mpunga ... . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ... ... ooops chacha hii timu imejaa wauza unga, wezi na makuwadi, bado nyie waswahili mtaanza kufukuzana kama pimbi pale khe khe kheeeeeeeeeeeee.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom