Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eeeh haya ndio mambo aisee


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sijui kama Commentator ka exaggerate au la.... Anadai Mikel ana 167 games na Chelsea na hajafunga hata goli Moja... Dah... Jamaa kweli defensive.
 
Sijui kama Commentator ka exaggerate au la.... Anadai Mikel ana 167 games na Chelsea na hajafunga hata goli Moja... Dah... Jamaa kweli defensive.

nsio analipwa kwa kazi hiyo..
naona mbio za ubingwa ndo zaanza kwa kasi ya ajabu..
 
U guys are in very good form ryt now..... 4-1 is a Big win and I Congratulate u for that!!! wish u Furaha njema and Karibu kwenye Thread ya Arsenal tuliendeleze..... HONGERENI SANA....
 
Questt nashukuru...nami bila hiyana naja.
Pale ilikua kama tupo mazoezini bana....tooo slow a game for us.
 
Last edited by a moderator:
Pundits wa Uk walisema Chelsick leo watafunga si chini ya goli 10 nashangaa wamefunga goli nne tu, Vipi Tor the Res kafunga mangapi? Nachubiri majibu kutoka kwa Invisible s .... ... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi Mungiki brother mbona haweki picha?
 
John-Terry-Ashley-Cole-Chelsea-Norwich-City-P_2840519.jpg


John Terry and Ashley Cole both start for Chelsea despite the off-field saga which has surrounded the pair this week.



Fernando-Torres-Chelsea-Norwich-City-Premier-_2840476.jpg


Three minutes later Chelsea level, Ivanovic's cross finds Fernando Torres just eight yards out...


Fernando-Torres-Chelsea-Norwich-City-Premier-_2840481.jpg


...the Spaniard heads home to bag his fifth goal of the season.
 
Ila Masanilo tukubali torres bado hajaiva aisee....he lost way too many goals.

Come Jan 2013 Falcao anakuja Chelsea! Tores Kimeo aisee anahitaji nafasi 4 afunge moja! Guilit alisema Tores awapo uwanjani Chelsea wanakuwa 10 uwanjani
 
Last edited by a moderator:
Majileta menyewe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

''Captain, leader, legend, liar.
63 pages that should make
Abramovich squirm .... .... ...''



article-2213250-155D45B9000005DC-283_634x409.jpg


John Terror's reputation has been hit hard
by the 63 pages of the independent commission's report



'' ... .... .. Captain, leader, legend, liar. Over the 63 pages of the independent commission’s report into what happened at Loftus Road last October, and the clumsily orchestrated attempt at a cover-up that appears to have followed, John George Terry’s reputation has been dismantled and destroyed.

The reputation of Chelsea has also taken a battering, and it will be interesting to see how Roman Abramovich reacts given his sensitivity to such issues in the past.

He was most unhappy when Jose Mourinho’s antics turned his club into the pariahs of European football, and the petulant Portuguese did not remain the manager for much longer.''

khe khe khe khe khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeee



 
article-0-155D448B000005DC-496_634x399.jpg


''Ice choc'' was not spared ... .... ...
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Siriaz aise. Jamaa miguu mizito mbaya. Ile nafasi aliyopata Hazard akafunga lile goli, ingekuwa torres, ingeongeza idadi tu ya goal attempts.

Hahahaha ati goal attempts! ila kqweli hana nguvu za miguu kabisa ye kila kukicha kukimbilia kuanguka tu hajui kukomaa kama Drogba!!!
 
Wacha,

Unaipenda sana Chelse, hueshi kuja kila mara....vua gamba vaa ganda basi!

mkuu Rev Kishoka! za masiku bana.. inabidi tutembelee huku kwenu sababu Mentor anakuwa mpweke.. nyinyi huwa hamrudi hapa hadi mshinde
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom