Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
Utabiri wa hali ya hewa unaonesha majira ya KIANGAZI yameisha anza katika mji huu. Hali ya hewa ya leo inaonesha kutakuwa na JOTO SANA na miungurumo ya hapa na pale.
Hahah i will b here...
Utabiri wa hali ya hewa unaonesha majira ya KIANGAZI yameisha anza katika mji huu. Hali ya hewa ya leo inaonesha kutakuwa na JOTO SANA na miungurumo ya hapa na pale.
Mpira wenu mmebaki kuchungulia tu, kwani hamfahamu mpunga leo ulikuwa dekedeke? Wacha neni na kuwa Invisible, nasikia Mungiki Brother tayari anajitayarisha kuja kuweka vitu hapa baada ya mechi wakati Peas of ants atakuja kuzuga hapa ati alikuwa kwenye Cow shed Phew! What a joke?Oscar amenipa raha sana bila kujali game itaishaje..
We hao wachezaji unaowaongelea ni wa wapi na timu gani??? Haujasomeka kihivyo sana.Mpira wenu mmebaki kuchungulia tu, kwani hamfahamu mpunga leo ulikuwa dekedeke? Wacha neni na kuwa Invisible, nasikia Mungiki Brother tayari anajitayarisha kuja kuweka vitu hapa baada ya mechi wakati Peas of ants atakuja kuzuga hapa ati alikuwa kwenye Cow shed Phew! What a joke?
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee taratibu tu maana wachezaji wenu wamebwia unga .... .... . wasije kuanguka tu .... ...
Kipindi cha pili wachezaji hawafanya kazi niliyotegemea wanguifanya still mwanzo mzuri.Juve kipindi cha pili wamekaza kinoma japo naona refa kawabania tuta la Heden Hazard
Dah!kweli ninyi wanaume,mmetoka na pointi moja nzima nzima hapo hapo darajani.
We hao wachezaji unaowaongelea ni wa wapi na timu gani??? Haujasomeka kihivyo sana.
Mbona haujaweka lile goli la pili la Oscar ambalo ndo lilikuwa bao bora?![]()
QUAG MIRE ... Fabio Quagliarella slots
past Petr Cech for Juventus' equaliser
Kabooooom khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
There are currently 9 users browsing this thread. (1 members and 8 guests)
Khe khe khe khe si unaona Thread yenu mmebaki kuchungulia tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()

kwa taaaaaaaabu 1 dhidi ya stoke city..
Hongera zenu..