Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ice chock .. .... khe khe khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeee kwa mpunga lazima mshinde bila hivyo ni bure Tor the res hawezi kufunga hadi afanye faulo khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Najua bado moyo unakuuma baada ya kuona uwanja wa kisasa umefurika si unakumbuka last time tuliwakung'uta kwa magoli matano, bado unasafari ndefu kwa mpira mnaocheza hususan mkiacha kumwaga mpunga ... . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ... ... ooops chacha hii timu imejaa wauza unga, wezi na makuwadi, bado nyie waswahili mtaanza kufukuzana kama pimbi pale khe khe kheeeeeeeeeeeee.





Fat Arse 1 - 2 Chelsea!
 
Arsenal-v-Chelsea-John-Terry_2836188.jpg


John Terry was back in on-field action for Chelsea at Arsenal
 
Bravo kwa ushindi wa leo wakuu wa jukwaa hili!!!.....
Asante sana na wewe Pia, Chelsea inaonyesha Dalili nzuri, tatizo lipo kwenye combiantion ya umaliziaji na Hazard naona kama kasi inapungua na Torres confo chini sana
 
hahahahaahhahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
breath
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Habari za siku nyingi mkuu!!! Naona umetoka mafichoni!! Karibu jamvini!! Sisi huwa tunawapiga nyumbani kwenu!! Darajani pale! Safari zitakuwa saba!!

Hongera!!
 
Bwana Viper mtotowamjini MwafrikaHalisi mu wapi mtupe hongera zetu bana..
Mlidraw na man city mkadhan ndo sisi...yule ndo Juan Mata bana...ala!
Na pale mna bahat hatuna striker ila hatuliilii kama nyie we make use of other players sa nyie oh giroud oh podolski oh hatuna striker kwan wakati wa usajili mlikua mmelala??!
Jehehe leo nna furaha mie wachumba tu nyie hamtuez bana..
Nakumbuka maneno ya Wenger nataman akajisikilize tena...hahahaha....
Viva CHELSEA...
Pole Sympathisers!!!!

Hongera mkuu!! Asiye kubali kushindwa si mshindani ingawa sikuona game! Nimekubali ila tunakuja kwenu.. usijiachie saana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama umeangalia game wala huez sema we nid a new coach..weakness mbili tu zimeonekana vhelsea:
Beki huku kwa iva huwa anajisahau kurudi ndo maana JT pamoja na age hajapata mshindani anajua kupanda na kurudi.
Second, striker...apo ata aje Guardiola Torres habadiliki...

Mentor,

Tungekuwa na striker wa kuaminika na frontline yenye uchu na uwezo wa kufunga magoli, Iva na mabeki wetu wasingekuwa wakipanda sana kutafuta magoli ili tushinde mechi.

Hatuna killer instinct na kuna katabia ka kizembe ka kuridhika na goli moja au mawili na kuanza kucheza kadenge kila kona na kila dakika. Jana Liverpool na Suarez walinifurahisha kitu kimoja, walibamiza magoli na kuwafanya Norwich wapate malyenge....ingawa Norwich walionyesha ufundi mkubwa kuliko Puli!

TUnahitaji strikers na front line yenye usongo wa kubamiza na kujeruhi kila dakika na si mambo ya ubishoo kuridhika na droo au vijigoli vimoja.

RDM inabidi ageuze mentality na kuenforce 30% of super killer mentality yenye kushambulia kufunga kila possesion na si mambo ya kina Torres kuogopa kufunga!

I wish Iva was a forward, he has the mentality of "lets go and freakin score goals"!
 
Bwana Viper mtotowamjini MwafrikaHalisi mu wapi mtupe hongera zetu bana..
Mlidraw na man city mkadhan ndo sisi...yule ndo Juan Mata bana...ala!
Na pale mna bahat hatuna striker ila hatuliilii kama nyie we make use of other players sa nyie oh giroud oh podolski oh hatuna striker kwan wakati wa usajili mlikua mmelala??!
Jehehe leo nna furaha mie wachumba tu nyie hamtuez bana..
Nakumbuka maneno ya Wenger nataman akajisikilize tena...hahahaha....
Viva CHELSEA...
Pole Sympathisers!!!!

:biggrin1: haya bana naona torres kaanza kukumbuka yeye ni striker kwa kufunga magoli
 




Nimepita tu .... ..... naona
Peas of ants wamekwenda uwanjani
Oops hata
Invisible padri Kishoka et al kuangalia soka khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee oooh OOOps huwezi kumwacha Mungiki Brother bana .. ....... . ataleta picha tu leo khe khe khe kheeeeeeeeee
 
Wacha1 huyo dogo,Jenkinson mbona kama ana utindio wa ubongo yani anafananisha silver na bati??!!! Arsenal hawawezi kufikia level ya Chelsea bana..no..not now..not ever! wabaki kushindana na Tottenham labda!
 
Last edited by a moderator:
Hapo wakimpongeza Mata for a wonderful goal.. jana.jpg
jana1.jpg
Goal One...perfercto! (oh btw, nice pass from Torres-Lampard-Mata!)
jana2.jpg
D. Luiz...after so long jana amefunga bonge la goli...i still remember his early days at Chelsea...dogo anajua! (Apa vermaelen watano ndo watafikia kiwango cha uyu dogo!)

mikel.jpg
The man at the middle of the pitch! Nice work with Ramires they did yesterday..op they get more games together zitatusaidia sana kwenye Champions League maan huku EPL hakuna timu ya kututisha...wachumba tu wote!
torres.jpg
This man..so un predictable (jus as his nick name says: el-nino)...no comments abt him kwa sasa!


SI SI SI..ndo SISI..
mabingwa wa Ulaya..ndo SISI
wazee wa FA..ndo SISI
hatuongei sana...ndo SISI
ni magoli tuu...ndo SISI!!!!
 
E bana eee!!!! That Norwich Goal was Superb.... Very nice....Damn HOLT that shot was Hot...
 
Lampard on the sheet... 2-1. It was a good goal....Nice...
 
Hahahahahaa.... hawa Norwich kwishney.... Hazard 3-1 30th min....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom