Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

By the way, what a boring perfomance at the bridge infront of Roman.
MwafrikaHalisi mi nlifurahi alikuwepo aone sio vizur kushinikiza manunuz na ww co kocha...twas a great performance from our boys EXCEPT Torres...
Now naelewa kwann kocha wa spain at times ali opt kucheza bila striker. Lazima tukubali enzi za Torres zimeisha kwani hata el-nino hainyeshi kila mwaka.
 
Last edited by a moderator:

Ukweli ni kwamba Torres amekuwa mzigo,Roman kajaribu kumletea Hazard,Mata,Oscar lakini bado anashindwa kufunga.Kama Chelsea wakisajili mshambuliaji mwingine Torres atakula benchi
 
Umeongea vyema....mi ata nlitamani Lukaku angekuepo yani!
 
MwafrikaHalisi mi nlifurahi alikuwepo aone sio vizur kushinikiza manunuz na ww co kocha...twas a great performance from our boys EXCEPT Torres...
Now naelewa kwann kocha wa spain at times ali opt kucheza bila striker. Lazima tukubali enzi za Torres zimeisha kwani hata el-nino hainyeshi kila mwaka.

Hahaha. Unajuaje kama mimi si kocha? Anyway, what matters ni kuwa nimetazama game nzima and I think that display is why Roman would want Guardiola even now, but has to wait untill the end of the season to FIRE the 'caretaker' :lol: .
 
Last edited by a moderator:
OSCAR-SPLASH_1588982a.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wanachubiri ati Gunners wapoteze mechi kule Etihad ndio warejee
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee thubutu .... .
 
Hahaha. Unajuaje kama mimi si kocha? Anyway, what matters ni kuwa nimetazama game nzima and I think that display is why Roman would want Guardiola even now, but has to wait untill the end of the season to FIRE the 'caretaker' :lol: .

Mkuu kama umeangalia game wala huez sema we nid a new coach..weakness mbili tu zimeonekana vhelsea:
Beki huku kwa iva huwa anajisahau kurudi ndo maana JT pamoja na age hajapata mshindani anajua kupanda na kurudi.
Second, striker...apo ata aje Guardiola Torres habadiliki...
 
OSCAR-SPLASH_1588982a.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wanachubiri ati Gunners wapoteze mechi kule Etihad ndio warejee
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee thubutu .... .

Mfa maji haachi kutapatapa!
 
Na leo tena mechi ya kwanza ya Capital One formely Carling Cup dhidi ya Wolverhampton...nne kasorobo tuonane mida iiyo...
 
Half time...
Chelsea 3 - 0 Wolves.
4' Garry Cahill
8' Ryan Bertrand
17' Juan Mata
 
hakuna cha kusema huku, toka ligi imeanza mnacheza na vibonde..tutakua hapa jumapili wakati mnatolewa jasho na arsenal :biggrin1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom