Hiv bila Mendy tunaweza kupata hizo points?Inabidi game 10 za mwanzo zote tushinde ili tuwe na pointi 30 alafu wale wanao tufuata waaze kuogopa mapema
Grealish wa nini? Si bora tubak na Zieych. bora acheze Wener mara kumi kuliko huyo bishoo.Grealish - Haaland - Mount
Chilwell - Joginho - Kante - Hakimi
Rudger - Thiago - James
Grealish = 25M + Abraham (40M)
Hakimi= 51M + Ermason (17M)
Haaland = 154.2M
TOTAL = 230M
Roman katenga 200M - usajili Dirisha hili
Tayari tumeuza Tomori = 25M
Subili muda ufike ndio utajua kuwa ,mnajitekenya na kucheka wenyeweGrealish - Haaland - Mount
Chilwell - Joginho - Kante - Hakimi
Rudger - Thiago - James
Grealish = 25M + Abraham (40M)
Hakimi= 51M + Ermason (17M)
Haaland = 154.2M
TOTAL = 230M
Roman katenga 200M - usajili Dirisha hili
Tayari tumeuza Tomori = 25M




Mpaka sasa arsenal anaongoza league ,inabidi wakachukue EPL haraka sana ,muda wao ndio huu![]()
Mzee baba upo tangu upigwe ulipoteaKai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
...
Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...
Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
Nipo sanaa, na nasubili kutembeza bakora next season ,EPL irudi etihad ...Mzee baba upo tangu upigwe ulipotea
Matumaini ya Chelsea kusaini haaland ya meongezeka baada ya makubaliano ya malipo baina yake na Chelsea, (personal terms) kilichobakia ni makubaliano pamoja na malipo kwa timu yake ya Borrusia Dortmund.......
Grealish - Haaland - Mount
Chilwell - Joginho - Kante - Hakimi
Rudger - Thiago - James
Grealish = 25M + Abraham (40M)
Hakimi= 51M + Ermason (17M)
Haaland = 154.2M
TOTAL = 230M
Roman katenga 200M - usajili Dirisha hili
Tayari tumeuza Tomori = 25M
Kasome hapaAcha porojo, hiyo habari umeitoa wapi?
Ndg yangu ufuatilii uchezaji wa hawa wawili. Ziyech haonyeshi agresiveness na juhudi uwanjani, Grealish yeye ni typ ya Hazard kwa kudrible na kung'ang'ana na ni mzuri kwenye kuassists. Ziyech umaarufu wake ni kwenye krosi tu ambazo hata James na Azpilicueta wanazipiga sana. Grealish ni bora mara nyingi kuliko ZiyechGrealish wa nini? Si bora tubak na Zieych. bora acheze Wener mara kumi kuliko huyo bishoo.
Tatizo la media za Ulaya hata mmoja akianzisha uongo wote wanasambaza hata kwenye reliable media kama za SkySports. Sheria zao zinaruhusu rumours kusambazwa sio kama huku kwetuAcha porojo, hiyo habari umeitoa wapi?
Ian nasikia amedai kuwa Tuchel kakaa na Abramovich baada ya fainali ya UEFA na kumueleza kuwa kumsajili Haaland kutaongeza nafasi ya Chelsea kutwaa kombe la EPLKasome hapa View attachment 1821784
Tatizo la media za Ulaya hata mmoja akianzisha uongo wote wanasambaza hata kwenye reliable media kama za SkySports. Sheria zao zinaruhusu rumours kusambazwa sio kama huku kwetu
Media nyingi zimeripoti kuwa kilichobaki ni ada ya uhamisho tu kwa Dortmund
Ukitaka kujua ni porojo, hawataji chanzo cha habari
Mfano hii hapa
Borussia Dortmund striker Erling Haaland has agreed personal terms with Chelsea, according to reports.
Wanasema acording to reports wakati kwa kawaida wanatakiwa kusema accrding to Mwananchi Newspaper etc